Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Wewe ndio wa hovyo hovyo kabisa. Kwa sasa Taifa linapitia kipindi cha kuelekea maendeleo ya kweli. Kaa na wivu wako na mavidonda yako ya tumbo.
Kwenye rushwa ya kitaasisi hakuna maendeleo, ulisoma wapi wewe.
 
Atakuwa "undercover" wa kupambana na rushwa huyu mteuliwa mpya kama yule aliyemsafisha wakati wa ripoti ya almasi. Huyu mtu ni muongo na MNAFIKI wa kiwango cha platinum.
 
Ni muda muafaka sasa wa mimi SONGOKA kwenda zimbabwe, sababu ninazo na nia pia ninayo. Mimi si wa kwanza kufanya uamuzi huu, natambua mwanamuziki ROMA tayari keshatangulia, hivyo nitakuwa wa pili kutangaza nia ya kwenda zimbabwe na kuihama TANZANIA. Lakini kabla sijaondoka niseme yafuatayo
  1. Hii nchi imegeuzwa kuwa ya watu fulani hivi tena wa mlengo fulani hivi tena wa kariba fulani hivi , na watu hawa ni wachache sana lakini wameamua kujimilikisha nchi hivyo naenda zimbabwe nipate ubuntu wa ukweli
  2. wakati Jamaa yetu fulani kapigwa risasi 24 adharani tena mubashara katikati ya makao makuu, **** Meja general mmoja alishambuliwa huko vichochoroni. Cha kushangaza walikamatwa mpaka waliomtaja jina tu achilia mbali waliopanga mpango, lakini jamaa yetu mpaka leo hata mtuhumiwa wa kusingiziwa tu hajakamatwa
  3. wakati watanzania wenzangu 16000 wakiachishwa kazi kwa kukosa vyeti, kuna kijamaa kimoja kila kukicha kinasifiwa eti ni kichapakazi sana kiasi kwamba haijalishi kama kina cheti au hakina , na tumeshaambiwa tusijisumbue kukisemasema
  4. wakati ndugu zangu wakiozea jela kwa tuhuma za rushwa akiwemo Malinzi, aveva, na wengine wengi, Kuna kijamaa kimepandishwa cheo kwa kazi nzuri kiliyofanya ya kuwapa viongozi fulani rushwa ili wahame chama
  5. wakati mzee wangu fulani alitukanwa eti mke wake anafanya kazi shirika la ndege huku yeye ni waziri, ihali hakuna sheria inayokataza, kuja jamaa mmoja kachagua mpwa wake kuwa katibu mkuu, na jana kamrudisha tena palepale kwenye wizara ileile
  6. Wakati watanzania wanakamatwa kila siku kwa kuhujumu uchumi, kuna jamaa alihujumu tena kupitia POLISI, anaitwa Rugumi mpaka leo anadunda tuu mtaani
Nikizingatia haya na mengine meengi , nimeamua kwenda zimbabwe. Zimbabwe kuna uhuru, zimbabwe hawabaguani, zimbabwe kuna haki, zimbabwe ni mahari pazuri kwa watu weusi.

Kama unaniunga mkono usiandike chochote, just do the tag[HASHTAG]#Naenda[/HASHTAG]Zimbabwe
 
MKUU UKIFIKA NIJULISHE HALI YA MAISHA YA HUKO.KAMA YAMEKAA POUWAH NIANGALIZIE PA KUFIKIA
 
Jibu rahisi to a complex moral decay. Jamaa anatengeneza taifa jipya tofauti na aliloliasisi JKN.
Mimi kitambo nilikwishajua kuwa anachokisema sio anachokipractice. Pole yako Tz uliikataa rasimu ya Warioba sasa ndio uijue hii katika ikoje.
Kwel watu walizoa ujanja ujanja mtu hana kazi ya maana lakini anaishi maisha ya kifffahhariii,
 
Nguvu mpya na kasi,maisha bora kwa kila mtanzania,hapa kazi tu,hii ni misemo ambayo imepata wapiga vigelegele .
 
Nguvu mpya na kasi,maisha bora kwa kila mtanzania,hapa kazi tu,hii ni misemo ambayo imepata wapiga vigelegele .
 
Kwenye rushwa ya kitaasisi hakuna maendeleo, ulisoma wapi wewe.
Wewe unaijua rushwa wewee? Anza kwanza huko kwenu uone kama mko salama na mnaweza kunyoshea wenzenu vidole. Unajua ni kwa nini viongozi wako wako kimya kasoro muoza mdomo na janja?
 
Salamu wakuu, itifaki imezingatiwa

Hapo nyuma kidogo hii kazi ya teua tengua ilionekana kukoma na dalili za watu kufanya kazi zilianza kuonekana, majungu na unafiki ulikwisha kwa wale wategea teuzi za mkulu zaidi walijikita na kazi kwa nafasi walizonazo.

Hili zimwi limeibuka tena, juzi kati alichekecha baraza la mawaziri, akaamiza kichwa akapanga wakuu wa mikoa, hakusahau pia ile kazi ambayo huwa ni adhabu kwa wanatumbuliwa wakateuliwa pia(mabalozi)

Macho, masikio na matarajio ya waswahili wengi sasa tunasubiri teuzi za wakuu wa wilaya, huku nauhakika hutajaza nafasi zilizo wazi tu, natarajia watapunguzwa wengine na makada wengine wapewe nafasi.

Ni kazi nzito sana hii kwa Mh rais, majukumu haya yanakuumiza kichwa sana ni dhahiri utaishia teua tengua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom