Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Basi hamia Kenya hapo, si gharama sana, kuna Zambia, Mozambique.
Hamia huko mkuu.
Wacha nijapange mkuu hizo nchi walau akili za kujitambua kama binadamu wanazo wao ni tofaut kidogo na wanyama
 
Kwani TAKUKURU wamethibitisha kuwa TAARIFA dhidi ya WATUHUMIWA zina harufu ya UKWELI? kama bado hakuna UHALALI wa KULAUMU
 
Hamia Rwanda Mkuu..
Naona Mashoga mmevamia Uzi wa mishede. Mwanaume kujibu Uzi wa mwanaume tofauti na Content ya Uzi huo ni ushoga, Acha kujipendekeza na kuwashwawashwa huo uvimbe. Watafute Mashababi yakukamua huo uvimbe-mjazo na sio kuja kujitongozesha kwenye nyuzi za wanaume wenye akili.

Gasho Wewe
 
Kwani TAKUKURU wamethibitisha kuwa TAARIFA dhidi ya WATUHUMIWA zina harufu ya UKWELI? kama bado hakuna UHALALI wa KULAUMU

Mkuu kama ndo hivyo tunasubiria sheria ichukue mkondo wake why wakina mhongo wasiwe na sifa za kubak wirazani?
 
Kwa sasa tuna Taifa la hovyo sana unamfukuza muhongo na simbachawene kwa kashfa za matumizi mabovu ya ofisi za umma unamteua mnyeti kuwa mkuu wa mkoa kisa waliotoa habar wanatoka upande ambao hutaki kuusikia hili ni jambo la ajabu mno tena linalitia aibu taifa kiongozi ulieapa kuongoza kwa misingi ya sheria,haki na utu leo unageuza Taifa mali yako kauli na matendo yako ndo sheria sijui mnashangiliaga nini kuushinda upunzani ktk chaguzi mbalimbali ikiwa uwepo wao hautakiwi kwa mawazo ua hata kushiriki ktk nyanja mbalimbali za maendeleo ya Taifa hili kwa nini usifutwe kuokoa upotevu wa pesa zinazotolewa kama ruzuku?

Kuna vitu ukivifikiria kwa mapana na marefu vinaleta ukakasi mkubwa mno ndio mana kuna kiongozi mkubwa wa Taifa hili alihitaji sana kuombewa alishayajua matatizo yake huwezi ukiliongoza Taifa kwa kuligawa kwa itakadi za uvyama kiaisi hiki hili linaleta mahusiano mabovu miongoni mwa watanzania hizi nyufa zinazidi kutatuka kwa kasi kubwa mno kinachoongelewa na kiongozi wetu si matendo ayafanyayo amekuwa na mtu wa kuangalia ni nani wa kumshughulikia muda unavyozidi kwenda anazidi kupoteza imani na matumaini waliyokuwa nayo watanzania kwake.

Vitendo vya rushwa ni vigumu kufutika na vitaongezeka kwa kasi hasa kwa wale wanaovitumia kumfurahisha yeye.
Wewe ndio wa hovyo hovyo kabisa. Kwa sasa Taifa linapitia kipindi cha kuelekea maendeleo ya kweli. Kaa na wivu wako na mavidonda yako ya tumbo.
 
Kwa umasikini nilionao nisingebaki Tanzania kama pesa ninayo ningehamisha familia yangu kwenda nje ya nchi hii si kuendelea kushuhudia upuuzi huu hata vizazi vyangu vitalisi huu ujinga nawahurumia mno.
Jinyonge tu
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Pole
Kwa sasa tuna Taifa la hovyo sana unamfukuza muhongo na simbachawene kwa kashfa za matumizi mabovu ya ofisi za umma unamteua mnyeti kuwa mkuu wa mkoa kisa waliotoa habar wanatoka upande ambao hutaki kuusikia hili ni jambo la ajabu mno tena linalitia aibu taifa kiongozi ulieapa kuongoza kwa misingi ya sheria,haki na utu leo unageuza Taifa mali yako kauli na matendo yako ndo sheria sijui mnashangiliaga nini kuushinda upunzani ktk chaguzi mbalimbali ikiwa uwepo wao hautakiwi kwa mawazo ua hata kushiriki ktk nyanja mbalimbali za maendeleo ya Taifa hili kwa nini usifutwe kuokoa upotevu wa pesa zinazotolewa kama ruzuku?

Kuna vitu ukivifikiria kwa mapana na marefu vinaleta ukakasi mkubwa mno ndio mana kuna kiongozi mkubwa wa Taifa hili alihitaji sana kuombewa alishayajua matatizo yake huwezi ukiliongoza Taifa kwa kuligawa kwa itakadi za uvyama kiaisi hiki hili linaleta mahusiano mabovu miongoni mwa watanzania hizi nyufa zinazidi kutatuka kwa kasi kubwa mno kinachoongelewa na kiongozi wetu si matendo ayafanyayo amekuwa na mtu wa kuangalia ni nani wa kumshughulikia muda unavyozidi kwenda anazidi kupoteza imani na matumaini waliyokuwa nayo watanzania kwake.

Vitendo vya rushwa ni vigumu kufutika na vitaongezeka kwa kasi hasa kwa wale wanaovitumia kumfurahisha yeye.

pole kila jambor na wakati wake muda ukifika ataondoka
 
Nenda Congo au Somalia
Jibu rahisi to a complex moral decay. Jamaa anatengeneza taifa jipya tofauti na aliloliasisi JKN.
Mimi kitambo nilikwishajua kuwa anachokisema sio anachokipractice. Pole yako Tz uliikataa rasimu ya Warioba sasa ndio uijue hii katika ikoje.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom