Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Hhmm, huu mwaka ni kaazi kweli kweli. Tutayumbishwa mpaka tukome
Let's be Calm Guys Everything gonna be Okay, Toka 2. February 2016 Kuna Mtu Alinitonya kutoka Mahali akasema " Let you have a simple look from 16 April 2016 , I think that date Il fall on Saturday. Kwa hyo Tuwe Wavumilivu na wapole Mungu ataisaidia .
After all Alvin, Aleyn,Shefwaa na wengine Niko Ndani ya Kisbo express Natoka Mwanza naja Dar. FITINA ZOTE Zitajulikana
 
Hahahaa karibu sana mkuu.

Ngoma soon itaachiwa
 
Let's be Calm Guys Everything gonna be Okay, Toka 2. February 2016 Kuna Mtu Alinitonya kutoka Mahali akasema " Let you have a simple look from 16 April 2016 , I think that date Il fall on Saturday. Kwa hyo Tuwe Wavumilivu na wapole Mungu ataisaidia .
After all Alvin, Aleyn,Shefwaa na wengine Niko Ndani ya Kisbo express Natoka Mwanza naja Dar. FITINA ZOTE Zitajulikana
Karb mula Mungu akufkshe salama huku
 
Hiyo nayo nasikia ni noma, kisbo na happy nation.
Yeah Huyu Mura hata kwenye Corner alikwabgua tu kwa 60, Kimsingi hizi ndo Gari zinazowahi mapema nyingine Ni mpaka Saa Saba ndo ufike Dar. Kulikua na Ngoma Express na yenyewe ilikua inatisha Sana kwa sasa imeshachoka.
 
Guys I'm now in your City . Later I'm gonna....
Back online ,.... Sema Uchovu Sana Bhamura bheitu.
 
Nafasi zmeshatangazwa source my bro captain pale navy kgamboni ndo kanambia now niende kwa mshauri wa mgambo nikfka nmpgie simu....usipuuzie nenda kwa mkuu wa mkoa now
Enhe ulivyoenda kwa mshauri kakwambiaje??
 
Guys nmefka wanafunga ofisi wamenambia kesho asubuh....fatlien mikoan mlipo nmefka saa tisa na nusu ndo wanatoka ofisin
Dogo unahangaika sana hadi huruma, Kwani nafasi zikitoka Tangazo si litabandikwa ofisini kwa mkuu wa Wilaya unayoishi kijana! Kwanini unahangaika kila siku kwenda kwa mkuu wa mkoa?
 
Back
Top Bottom