Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

After all Hyo Tang'ana Wako ambae wewe unamuaminia Sana anatoa kucomments za kukatisha Watu tamaa na sio kuhabarisha watu Kana Mura hata Kama yeye Ni Miongoni mwa wahusika WA kupanga na kutoa maamuzi Ndani ya chombo husika hata Mimi ninao watu WA karibu kumzidi yeye ( His Seniors) au Kuendana , Yeye Ni Tang'ana Sisi ni Akina Ing'ang'a.
Karibu Musoma Yetu Tata Monke Kichuri kipo na Tukuchezee Ritungu.
Are you sure hao jamaa zako wamemzidi Tang'ana u seniority?? wewe ukiona mtu kakomenti hapo unajua wote ndio walewale uliograduate nao.
 
Acha kuji expose ndugu yangu MakanyaJr utatafutwa alafu ukose hyo nafasi maana inaonesha ndugu zako wanakupa kiburi na pia unategemea wakubwa uvushwe ujue hapa wapo watu masaa 24 wanafuatilia ...wakiona vitu kama hivi wanaweza kuamua kukuonesha how to discipline yourself and your so called wakubwa wako...halafu mambo ya jeshi huwa hayapendi kuongelewa ongelewa kirahisi hivi maana kama unaweza kutoa siri zako namna hii utaweza kuzitunza za Jeshi?
 
Acha kuji expose ndugu yangu MakanyaJr utatafutwa alafu ukose hyo nafasi maana inaonesha ndugu zako wanakupa kiburi na pia unategemea wakubwa uvushwe ujue hapa wapo watu masaa 24 wanafuatilia ...wajiona vitu kama hivi waaweza kuamua kukuonesha how to discipline yourself and your so called wakubwa wako...halafu mambo ya jeshi huwa hayapendi kuongelewa ongelewa kirahisi hivi maana kama unaweza kutoa siri zako namna hii utaweza kuzitunza za Jeshi
Sawa MULOKOZI Nimekuelewa Mkuu.
 
Labda kama ni Muhuga au Mwamunyange. Tofauti na hapo hizo zake ni tetesi tu kama tetesi zingine.
Haaa Haaa Mzee WA kazi R. Muhuga ashasepa na Baba Magufuli Kamteua kuwa R.C katavi nadhani Sasa hv Kuna Mutu Mukubwa Mwingine Anaitwa Mwita Isamuyo Samahani kama ntakosea jina Lake Na Baba D.A Mwamunyange Siwezi Kumuongelea.
 
Haaa Haaa Mzee WA kazi R. Muhuga ashasepa na Baba Magufuli Kamteua kuwa R.C katavi nadhani Sasa hv Kuna Mutu Mukubwa Mwingine Anaitwa Mwita Isamuyo Samahani kama ntakosea jina Lake Na Baba D.A Mwamunyange Siwezi Kumuongelea.
Marekebisho kidogo. Mkuu mpya wa JKT haitwi Bri Gen Mwita Isamuyo, bali ni Bri Gen Michael W Isamuhyo
 
Bado mpo tu vijana?naona taratibu tu mtakubali maneno yangu,niliwaambia haya mambo ni hadi mwezi wa 6 au 7..fanyeni ishu zingine kwa sasa..wacheni kupeana maneno ya uongo mara mwezi huu hautaisha mara mwezi april..mark my words plz..ikiwa kabla ya june au april nitajitoa jf kwa kuudanganya umma wa watanzania.
chanzo cha hii habari yako ni kipi? we ni msemaji wa jkt? kwanini unazalimisha watu waamini habari yako? hizo habari zako zitabaki kuwa tetesi tuu kama tetesi nyengine.. kipindi kile mwez wa 12 ulisema zitatoka mwezi wa 1... mwezi wa kwanza ulivyoisha ukasema wa 5-6, saivi umehamia 6-7..
 
Haaa Haaa Mzee WA kazi R. Muhuga ashasepa na Baba Magufuli Kamteua kuwa R.C katavi nadhani Sasa hv Kuna Mutu Mukubwa Mwingine Anaitwa Mwita Isamuyo Samahani kama ntakosea jina Lake Na Baba D.A Mwamunyange Siwezi Kumuongelea.
Brig. Gen Michael Mwita Isamuhyo
 
Kwanini unategemea kushikwa mkono na wakubwa badala ufuate taratibu za kujiunga jkt?
 
Cmp

Sioni tatizo kwenye hili, kwasababu hii ni kama bonus kwa wafanyakazi ambao wapo huko. Kua kama nafasi zimetoka alfu wao wana ndugu zao au rafiki basi wanaweza waunganisha.

Kila mfanya kazi, lazima awe anapewa upendeleo kwenye eneo lake la kazi. Mfano, mfanyakazi wa tanesco atakatwa kkwa kiwango kidogo, mfanyakazi wa Crdb atapewa mda mrefu wa kulipa kodi akichukua mkopo nk...

Mfanyakazi wa kampuni / shirika / taasisi flani ni sawa na mtoto wa hiyo taasisi, kwaiyo lazima awe na nafasi za upendeleo tofauti na wale ambao sio wafanyakazi wa iyo taasisi. Ni sawa tu na ambavyo mzazi anavyoweza kumjali / hudumia mwanae mwenyewe na yule wa jirani. Lazima tofauti iwepo.

Kama mtu unafanya kazi kwenye taasisi flani na unapanda nafasi za upendeleo, kwanini ndugu zako, marafiki na majirani wasinufaike?
 
Haaa Haaa Mzee WA kazi R. Muhuga ashasepa na Baba Magufuli Kamteua kuwa R.C katavi nadhani Sasa hv Kuna Mutu Mukubwa Mwingine Anaitwa Mwita Isamuyo Samahani kama ntakosea jina Lake Na Baba D.A Mwamunyange Siwezi Kumuongelea.
Sawa sawa, ujue jamaa tu na taarifa zake ndo anachanganya watu vichwa. Cjui anazitoa wapi taarifa zake..
 
Wakuu mwenye kujua habari za JKT kujitolea 2015 Atujuze.

Mbona sisi tunaofanyiwa mipango mwaka huu wametuchelewasha kuingia kambini? Na wakati wenzetu mafunzo teali wameshaanza.. unakuta mtu anaekufanyia mipango yupo kule MMJKT anakwambia subiri utaingia!

Je kuna watu huwa wanaripot katikati ya six week?
Taarifa kwa Umma Tarehe 15 Machi 2016
Tangazo iloo la kukanusha taarifa za usaili
 
Kana Vichaja sisi Tuendelee kufuta Subhira Mang'ana Kama Nyamuhanga(Mungu) akijalia Yatakua Sawa Cha Msingi Ni Subira na Uvumilivu.
 
Back
Top Bottom