Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Watu wameshakua nyota teari huko monduli kwa idadi ya afisa wapya 586 kati yao 80 madaktari, 6 marubani na naona hapa form six wa sayansi wamekula shavu kwa idadi ya watu 500
 
Watu wameshakua nyota teari huko monduli kwa idadi ya afisa wapya 586 kati yao 80 madaktari, 6 marubani na naona hapa form six wa sayansi wamekula shavu kwa idadi ya watu 500

Hongera zao sana


Daah ukipita "Tanzania Marathon Academy" salama na ukala jiwe unastahili pongezi
 
Hongera zao sana


Daah ukipita "Tanzania Marathon Academy" salama na ukala jiwe unastahili pongezi
mkuu umenifurahisha hilo nenp marathon.. ni kweli bhana kule kukimbia ni kama chakula tena co mchaka mchaka wa kitoto unaweza kuanza mchaka mchaka kuanzia ubungo hadi kibamba yaani ukiamka unakimbia, kabla hujala unakimbia, baada ya kula unakimbia, kabla ya kipindi unakimbia, kabla hujalala unakimbia, mm naona wanariadha tuwachukue huku jeshini maana wataiwakilisha vyema nchi kimataifa
 
Nilikua Nina pitia Website ya JKT nikakuta Wamegawanya makundi ya Vijana kwa sehemu mbili ..

Kundi la kwanza wamewaita Vijana wa kujitolea ambao ni wale wa kuanzia elimu ya darasa ya saba ambao wanahitaji wa kuanzia umri wa miaka 18 hadi 23

Alafu kundi la pili ni wale wa kuanzia kidato cha sita na kuendelea ambao umri wao ni miaka 18 hadi 35 ndio wanachukuliwa ..

Sasa hapa swali langu hawa ambao wanaoanzia kidato cha sita kwanini hawajaitwa wa kujitolea?? Hawa wa kidato cha sita Ina maana ukimaliza mafunzo na ukifanya vizur unakua muajiliwa wa JKT au inakuaje ? Na mikataba ya JKT imekaaje kwa askari wanaopewa mikataba?

Naomba kufahamishwa wakuu
Kwa Uzoefu kiDogo nlionao ni kwamba Kidato cha sita wao ni kwa Mujibu wa Sheria, Na nDio maana kuna utofauti mkubwa ktk Umri..
ila mtu wa kidato cha sita pia akimaliza mafunzo yke na akawa anahitaji kuendelea zaiDi, atasubiri mpk INTAKE nyingine itakapofika si kwmb ataunganisha moja kwa moja Hukohuko, na atakua na kipaumbele ktk Uchukuliwaji kwa kuzingatia kwamba tayari ana uelewa walau na baadhi ya vitu hvyo itakua Rahisi zaiDi kwake ktk mafunzo, na pia huwa kuna utaratibu wa kuacha Mawasiliano pinDi mafunzo yamalizikapo(Kwa mujibu, sijajua kwa Wa kujitolea)..
Na ina urahisi zaidi kwa kidato cha sita kwakua ni Rasilimali mtu ambaye anakua na walau taaluma flani
 
Back
Top Bottom