Ni vema kama ungepitq kimya kimya.Nyie kurupukeni tuu, ntakuja rukishwa kichura mbele za mademu wenu
Mambo ya kijeshi hayaitaji mzaa kabisa
BORA UCHEZEE BOT KULIKO CHEZEA JESHI
Asante mkuu.nafasi bado hazijatoka. huo ni utapeli unaofanywa kila mwaka
kitu cha msingi fuatilia sana vyombo vya habari tv,redio,(hasa habari) na website yao tu. blog sio za kuziamini sana maana wapo kibishara.
website ya jkt imeshafunguka unaweza kwenda kuicheki au kama inagoma ingia kuanzia saa 8 mchana mpaka 11 jioni.
KUMBUKA KUTAPELIWA NI KUPENDA MWENYEWE
Yeah cha muhimu ni uvumilivu na kujituma katika kazi za watu pamoja na,nidhamuWapi Baba Kantumaaaaaaaa!!!!????
Hima hima maafande, hakuna kukata tamaa. Huu mwaka lazima kieleweke.
Mkuu hujapata taarifa yoyote mpaka sasa.Guys nmefka wanafunga ofisi wamenambia kesho asubuh....fatlien mikoan mlipo nmefka saa tisa na nusu ndo wanatoka ofisin
Ebhana wanadai mwezi huu lazma ila aliefoj hilo tangazo wameshampata tayari...tuwe wavumilvu tu tukafanye kazi za watuMkuu hujapata taarifa yoyote mpaka sasa.
Kana Tata Alvin 101 Ukiangaria kure juu kabisa Mimi niritoa onyo kwamba Mang'ana ya Hawa majamaa watu waache kuyazusha ovyo ovyo kwanza wenyewe PIA Wako humu humu wanakua wanatoa Tu Ira wanaamua kukaa kimya lakini kama ukikosea Kare kautaratibu na kuandika mang'ana gha urongo wanakamata.Ebhana wanadai mwezi huu lazma ila aliefoj hilo tangazo wameshampata tayari...tuwe wavumilvu tu tukafanye kazi za watu
Hawa jamaa wanafanyaje kazi? Inamaana ratiba zao za kutoka ofisini, kati ya wafanyakazi wake wa dsm na mikoani ni tofauti? Maana wiki iliyopita, siku ya alhamisi majora ya 02 : 51 nilikua kwa DC wilaya ya temeke kuulizia nafasi. Nikaambiwa nimechelewa, eti hua wanatoka ofisini 02 : 30Mkuu hujapata taarifa yoyote mpaka sasa.
Mkuu sijakuelewa. Ebu dadafua kidogo.Hawa jamaa wanafanyaje kazi? Inamaana ratiba zao za kutoka ofisini, kati ya wafanyakazi wake wa dsm na mikoani ni tofauti? Maana wiki iliyopita, siku ya alhamisi majora ya 02 : 51 nilikua kwa DC wilaya ya temeke kuulizia nafasi. Nikaambiwa nimechelewa, eti hua wanatoka ofisini 02 : 30
Nakumbuka mura ultoa onyo kali watu waache kusambaza ile formKana Tata Alvin 101 Ukiangaria kure juu kabisa Mimi niritoa onyo kwamba Mang'ana ya Hawa majamaa watu waache kuyazusha ovyo ovyo kwanza wenyewe PIA Wako humu humu wanakua wanatoa Tu Ira wanaamua kukaa kimya lakini kama ukikosea Kare kautaratibu na kuandika mang'ana gha urongo wanakamata.
Bro ni kwel ofis zote za jeshi znafungwa saa tisa mzee ila kwa hapo walieah kdogoHawa jamaa wanafanyaje kazi? Inamaana ratiba zao za kutoka ofisini, kati ya wafanyakazi wake wa dsm na mikoani ni tofauti? Maana wiki iliyopita, siku ya alhamisi majora ya 02 : 51 nilikua kwa DC wilaya ya temeke kuulizia nafasi. Nikaambiwa nimechelewa, eti hua wanatoka ofisini 02 : 30
Yeke Tata kana Mura sisi tusubirie Tu mang'ana yatajiset yenyewe muda ukifika.Nakumbuka mura ultoa onyo kali watu waache kusambaza ile form
umesikia wapi ndugu?? Uganda ndo wametoa tz badoNdug zng wa jf mbona nasikia mzigo umetoka na watu washaanza mchakato ni kwel au?
Ahahahahahahahahahahahahaha!!;umesikia wapi ndugu?? Uganda ndo wametoa tz bado
We jamaa nakuona sana humu ndani JF masaa yote 24, wewe nawe ni Jobless tu kama vijana wanaosubiri nafasi za JKT humu ndani.Hivi JKT ni Kukubwa kiasi gani? Je Mtatosha huko nimeona watu wengi wanataka kwenda huko!