Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

jamani naomba kuuliza hivi hata mtu aliemaliza chuo kikuu anaenda jkt ?kwann asingeenda tangu alivyomaliza form 4 au 6
Na Sasa Kwa mujibu Wa wadau walioko uko kwa Sasa hv na waliowahi kupitia wanashauri kiburi cha Elimu watu wakifika Kule wakiweke Pembeni vingine unaweza kuvunjwa hata Mgongo Yan ule Udigirii na Usharabaro wa kichuo kikuu kwenye mambo ya kijeshi hautakiwi kabisa.
 
Mimi Niliambiwa Nikasome kwanza ndiyo nije Nitumikie Taifa Lakini Toka niko Kamura kadogo nilitamani kuwa Msojaa Na Hasa Nishakua nshasoma soma Kidogo Bado ile Ndoto yangu ya Utoto na sasa niko mtu mzima Napenda Sana kuwa miongoni mwa wale Wamura .
kimsingi niko Tiyari kuitumikia Nchi yangu kwa kulitumikia Jeshi . Siendi kisa Mob hapana Hiari na nafsi yangu Mimi Mwenyewe Tu inanisukuma kwenda uko .
Pamoja mkuu
 
Na Sasa Kwa mujibu Wa wadau walioko uko kwa Sasa hv na waliowahi kupitia wanashauri kiburi cha Elimu watu wakifika Kule wakiweke Pembeni vingine unaweza kuvunjwa hata Mgongo Yan ule Udigirii na Usharabaro wa kichuo kikuu kwenye mambo ya kijeshi hautakiwi kabisa.
Hahaha eti usharobaro
 
Back
Top Bottom