Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

You nailed It ..nashangaa kwanini kuna watu wameumbwa kukatisha tamaa watu ..nahisi hii itakuwa ina uhusiano na uchawi
We jamaa nakuona sana humu ndani JF masaa yote 24, wewe nawe ni Jobless tu kama vijana wanaosubiri nafasi za JKT humu ndani.
Wengine tunaenda huko kwa mapenzi yetu kabisa na tunaipenda hiyo kazi. J3 njoo TPB tawi la Metropolitan (Ukifika pale Posta kwenye yule Askari kwa pembeni utaona hiyo TPB) Ingia ndani, kisha kunja kushoto, tembea kidogo utatazamana na Credit Department, achana na ya kwanza njoo ya pili yake. Utamkuta kijana wa kiume na binti mwingine wa kike mweupe, huyo wa kiume ndo mimi.
Usifikiri kila anayekwenda JKT hana cha kufanya, wengine wana mipango wa kutimiza ndoto zao, kuna watu wana ndoto za Usalama wa Taifa, Polisi, JWTZ n.k hawezi kusitisha kupigania ndoto yake eti kisa waombaji ni wengi.
Nimekujibu hivi maana naona unawakomalia sana watu wanaotaka kuingia JKT 2016, ni vema ukakaa kimya na ukawaacha kama walivyo maana hatuwezi kukata tamaa kwa maneno yako.
 
Ata nkiambiwa nafasi mwez wa kumi na mbili ntasubilia all I need is one day to live in my dreamz kwamba nlpata nafasi ya kupta jkt huko kwingine majaaliwa ila kwa uwezo wa Mungu ntaweza pia
 
Ata nkiambiwa nafasi mwez wa kumi na mbili ntasubilia all I need is one day to live in my dreamz kwamba nlpata nafasi ya kupta jkt huko kwingine majaaliwa ila kwa uwezo wa Mungu ntaweza pia
Haa Haaa Kana Tata Mura umesema vizuri Sana Muraaa it's like me kwamba lazima nijaribu Bahati yangu, Nipo tyr kupoteza Muda wangu na Kila kitu But living in my Dreams and Time Trusting.
 
jamani vyeti ni muhim sanaaa? mimi cha primary sina... nina cha four, six na versity sina nina transcript tu .....nikituma hivyo itakua poa au? mpaka chet kabsaaa
 
jamani vyeti ni muhim sanaaa? mimi cha primary sina... nina cha four, six na versity sina nina transcript tu .....nikituma hivyo itakua poa au? mpaka chet kabsaaa
Birth certificate, academic certificates vyote kama upo navyo,ila kama umemalza chuo hujapata cheti it means una transcript so utakuja nayo....hakikisha ni OG vyote maana la cvyo utaolewa nao hao jamaa ukifoji
 
Wengine walisema zitatoka baada ya uchaguzi wa zanzibar kuisha.. uchaguzi ndo leo mambo yanaweza yakawa mazuri hivi karibuni
 
nafas zimeshatoka tear...na watu wako katika mchakato wa kupata hizo nafasi so hakuna cha kusubiri nenda wilayani kwako ukapate utaratibu
 
nafas zimeshatoka tear...na watu wako katika mchakato wa kupata hizo nafasi so hakuna cha kusubiri nenda wilayani kwako ukapate utaratibu
hata ukienda wilayani haitosaidia, ila cha muhm ni kwamb nafasi zipo na barua zinazoainisha sifa zilishatumwa mikoani tena mda2 tangu mwanzoni wa mwezi huu, kinachosubiriwa ni tangazo kutoka makao makuu, ambalo mpaka sasa haijajulikana litatoka lini. Kwahy ni uvumiliv2 ndo mana ukiongea na wajeda wengi watakuambia nafasi tayar!
 
Birth certificate, academic certificates vyote kama upo navyo,ila kama umemalza chuo hujapata cheti it means una transcript so utakuja nayo....hakikisha ni OG vyote maana la cvyo utaolewa nao hao jamaa ukifoji
usiofu mkuu vyote ni OG... even without a single "C"
 
nafas zimeshatoka tear...na watu wako katika mchakato wa kupata hizo nafasi so hakuna cha kusubiri nenda wilayani kwako ukapate utaratibu
acha upimbi.....watu tunawasiliana na mwamnya..... zimetoka za syria na yemen...now wapo kwenye usaili ila bongo bado
 
Bado mpo tu vijana?naona taratibu tu mtakubali maneno yangu,niliwaambia haya mambo ni hadi mwezi wa 6 au 7..fanyeni ishu zingine kwa sasa..wacheni kupeana maneno ya uongo mara mwezi huu hautaisha mara mwezi april..mark my words plz..ikiwa kabla ya june au april nitajitoa jf kwa kuudanganya umma wa watanzania.
Mkuu Ukitaka kuwa rafiki yetu sema zinatoka Jumatano ijayo ha! haa!😱😱😱
 
Tang'ana kashawaambia kuwa nafasi hadi mwezi wa 7, nyie mnataka habari mnazozitaka nyie, na hamjui kuwa tang'ana ni nani????? endeleeni kudanganyana kuwa week ijayo+week ijayo+week ijayo.......july
 
Tang'ana kashawaambia kuwa nafasi hadi mwezi wa 7, nyie mnataka habari mnazozitaka nyie, na hamjui kuwa tang'ana ni nani????? endeleeni kudanganyana kuwa week ijayo+week ijayo+week ijayo.......july
Akae Huko Huko na Unani wake.
 
Back
Top Bottom