Anayejua habari za JKT

Anayejua habari za JKT

Acha kuji expose ndugu yangu MakanyaJr utatafutwa alafu ukose hyo nafasi maana inaonesha ndugu zako wanakupa kiburi na pia unategemea wakubwa uvushwe ujue hapa wapo watu masaa 24 wanafuatilia ...wakiona vitu kama hivi wanaweza kuamua kukuonesha how to discipline yourself and your so called wakubwa wako...halafu mambo ya jeshi huwa hayapendi kuongelewa ongelewa kirahisi hivi maana kama unaweza kutoa siri zako namna hii utaweza kuzitunza za Jeshi?
Well said,
 
Pimbi wewe Kwan kwenye hivo vyuo ndo Kuna nn Sisi Huwa watu wazima kama Mimi haturuhusiwi kugombana na Mrisha kama wee Katailiwe kwanza . Bado kijamii huna heshima Kwan unatembea na uchafu mwilini unanuka kwanza.
 
Sawa Mzee wangu Ahsante Sana Mzee.
Nawatakia nyote heri na fanaka, nafasi zikitoka mufaulu usaili na afya zenu ziwe nzuri ili muende JKT, Ila km mmejichora matatuu mjitahidi kufuta kabla mshauri wa mgambo wa Wilaya hajawavua nguo na kuanza kuwapekuwa mwili mzima mkiwa uchiiii
 
Sawa Mkuu Tunashukru Sana Ndugu yangu Na Wewe Mungu Baba WA Mbinguni akubariki katika Njia sako na Riziki.
 
Haya leta story kijana wangu
Hyo post ya Mulokozi Jr. Yuko sahihi kwa Ushauri na onyo kwangu na wenzangu but sikitaka Tu kuijibu kwa muda ule Kwan hao wamura ndo huwa wanaanza kupost comments za kutukatisha tamaa sasa na sisi kama Binadam tunajikuta tunapaniki kama Binadam wengine lakini sio Kweli kwamba ndugu zangu wananipa kiburi kwa kuwa Seniors , Usiniority Ni wao so siwezi kujaa kichwa kisa wao Ni seniors Hilo ntakua nafanya kosa kubwa Sana kimaisha ntakua najimaliza mwenyewe bila kujua .
Kimsingi Mimi Hapa huwa namheshimu Kila Mtu hata mtoto WA Leo but huwa siogopi mtu japo nanyenyekea Tu kulingana na sehemu husika ya yule mhusika Ni Hayo but siwezi kuvimba kichwa kisa mjomba je watoto waweje Sasa.

Ahsante Sana Bwana Mulokozi Jr & Mzee RAZA.
 
Mikepoti

Kwasababu

1. Kuna watu walikua na malengo ya kufukuzia career zao. Kuna watu walipenda waende / wafike chuo ili kukidhi malengo yao. Eg kua wahasibu, wanasheria, wahandisi, madaktari nk. Kwaiyo ni suala la career vs dreams. Baada ya kumaliza career zao, wameamua wageukie upande wa pili, kutimiza ndoto zao za kua wanajeshi.

2. Kuna watu wana ndugu, wazazi au marafiki kwenye hizo taasisi ambao wanajua taratibu zote a - z, kwaiyo wakawapa ushairi kua wasome zaidi kabla ya kwenda uko

3. Kuna watu wamekuja kua na malengo baada ya kumaliza chuo au hatua nyingine mbalimbali za masomo, walipokuja kufikiria suala la muafaka wa maisha yao.

4. Kuna watu ni wazalendo, wana mapenzi ya dhati na nchi / taifa lao.
 
Safi mkuu umeelezea poa sana
 
jamani naomba kuuliza hivi hata mtu aliemaliza chuo kikuu anaenda jkt ?kwann asingeenda tangu alivyomaliza form 4 au 6
MAJOR REASONS.

- Kumaliza Programme isiyo na dili ngumu kupata kazi kama sociology, Development Studies, n.k
- Michongo kubuma kukaa bila kazi kwa mda mrefu
- Kuajiliwa na Kulipwa Ujira mdogo hivyo mtu anaona bora atimukie Jeshini.

Wanaopenda Jeshi ndugu yangu huwa wanaenda wapomaliza tuu Form six kuna Rafiki yangu mmoja alimaliza Form six na kupata Division 1-8 (PCM) Aliapa kutokwenda Chuo sasa hivi ana soma Nyota ya Tatu China taangu mwaka jana mwezi wa nane.

Kimsingi Kubuma kwa matarajio ya wengi ndo huona bora waende Jeshini wanaolipenda siyo wote wakishaonja Utamu wa maisha ndo akili huwasogea na kujifanya wanalipenda Jeshi.
 
MAJOR REASONS.

- Kumaliza Programme isiyo na dili ngumu kupata kazi kama sociology, Development Studies, n.k
- Michongo kubuma kukaa bila kazi kwa mda mrefu
- Kuajiliwa na Kulipwa Ujira mdogo hivyo mtu anaona bora atimukie Jeshini.

Wanaopenda Jeshi ndugu yangu huwa wanaenda wapomaliza tuu Form six kuna Rafiki yangu mmoja alimaliza Form six na kupata Division 1-8 (PCM) Aliapa kutokwenda Chuo sasa hivi ana soma Nyota ya Tatu China taangu mwaka jana mwezi wa nane.
Mfano wako wa kusema wanaopenda jeshi wanajiunga tangu form six kwa kutoa sample 1 tu naikataa. Kina Major Gen Shimbo walimaliza vyuo ndo wakajiunga na jeshi na wakati huo kulikuwa hakuna ugumu wa kazi kama ilivyo sasa. Ishu ni courage na malengo ya mtu binafsi tu.
 
Mikepoti

Kwasababu

1. Kuna watu walikua na malengo ya kufukuzia career zao. Kuna watu walipenda waende / wafike chuo ili kukidhi malengo yao. Eg kua wahasibu, wanasheria, wahandisi, madaktari nk. Kwaiyo ni suala la career vs dreams. Baada ya kumaliza career zao, wameamua wageukie upande wa pili, kutimiza ndoto zao za kua wanajeshi.

2. Kuna watu wana ndugu, wazazi au marafiki kwenye hizo taasisi ambao wanajua taratibu zote a - z, kwaiyo wakawapa ushairi kua wasome zaidi kabla ya kwenda uko

3. Kuna watu wamekuja kua na malengo baada ya kumaliza chuo au hatua nyingine mbalimbali za masomo, walipokuja kufikiria suala la muafaka wa maisha yao.

4. Kuna watu ni wazalendo, wana mapenzi ya dhati na nchi / taifa lao.
Mimi Niliambiwa Nikasome kwanza ndiyo nije Nitumikie Taifa Lakini Toka niko Kamura kadogo nilitamani kuwa Msojaa Na Hasa Nishakua nshasoma soma Kidogo Bado ile Ndoto yangu ya Utoto na sasa niko mtu mzima Napenda Sana kuwa miongoni mwa wale Wamura .
kimsingi niko Tiyari kuitumikia Nchi yangu kwa kulitumikia Jeshi . Siendi kisa Mob hapana Hiari na nafsi yangu Mimi Mwenyewe Tu inanisukuma kwenda uko .
 
Back
Top Bottom