Sawa Afande!Saa nnne ntaenda ofisi za mshauri wa mgambo kwa mkuu wa mkoa then ntawapa jbu vjana
sasa ni chombo gan kinachotangazaga nafasi za jeshi kama sio kwenye web yao au gazet gan ambalo linatoaga hz nafasi? Na kama m2 kuliwa huwa analiwa kwa kutojua au kwa kushawishiwa maana kila wanapofunga mafunzo ya jkt hawajawah kuacha kuutahadhilisha umma kuhusu matapeli wanaojifanya ni wanajesh au wa2 wanaoweza kuwasaidia, na kama ingekua inatangazwa kwenye vyombo vya habari bas ungekua unamuona msemaji wa jesh anaongea kwenye vyombo vya habari kuhusu huu utapeli unaoendelea. Cha muhimu ni kufaham jeshi linataratibu zake za kutangaza nafasi zake kama taasisi muhim ya serikali na haiwezi tangaza ovyo ovyo kama matokeo ya form 4 au 6 kwenye taarifa za habari cha muhim nikutembelea sehemu husika ili uweze kujua nini kinaendelea.Nafasi hazitolewagi kwa siri kama unavyosema huwa zinatagazwa kwenye vyombo vya habari vyote hapa nchini.. kuanzia kwenye tovuti yao, ubao wa matangazo wilayani, magazeti, Tv mpaka redio.. nyie ndo mnapotosha watu mtaani kuwa nafasi zinatoka kwa siri ndomana watu wengi wanapigwa pesa kutokana wanajua inshu hii ni siri
Asante kwa mrejesho, Ubarikiwe Mkuu!Nmetoka ofisi ya mshauri wa mgambo nafasi bado hawajatoa h
Jkt ila kati ya ijumaa au jtatu next week ...so tuwe wapole
Are you sure.Nafasi zmeshatangazwa source my bro captain pale navy kgamboni ndo kanambia now niende kwa mshauri wa mgambo nikfka nmpgie simu....usipuuzie nenda kwa mkuu wa mkoa now
Cjawah kukurupuka kutoa taarifa ambazo c sahihi saiv mpk na page yao inafunguka nmepgiwa cm dakika 20 zilzopta broAre you sure.
Mi page haifunguki naomba unisaidie hata Kuja inboxCjawah kukurupuka kutoa taarifa ambazo c sahihi saiv mpk na page yao inafunguka nmepgiwa cm dakika 20 zilzopta bro
Mkuu page inafunguka ila hakuna taarifa za tangazoCjawah kukurupuka kutoa taarifa ambazo c sahihi saiv mpk na page yao inafunguka nmepgiwa cm dakika 20 zilzopta bro
Kana Mura wetu Sisi shida sio page kufunguka Tata Monke sisi Tunataka Rimzigo Riwe rimetoka Tata Mura.
tupe mrejesho mkuu umeshafika kwa mshauri wa mgambo na ulivyo mpigia cm bro wako captain nini kiliendelea ?Cjawah kukurupuka kutoa taarifa ambazo c sahihi saiv mpk na page yao inafunguka nmepgiwa cm dakika 20 zilzopta bro
Kaka Kanituma Sio ?tupe mrejesho mkuu umeshafika kwa mshauri wa mgambo na ulivyo mpigia cm bro wako captain nini kiliendelea ?
haswaaa,maana naona kijana anatuchezesha vidogori bado ajamaliza hili mara kaja na lingineKaka Kanituma Sio ?
Haaa Haaa . Kana Mura Wacha tuone .haswaaa,maana naona kijana anatuchezesha vidogori bado ajamaliza hili mara kaja na lingine