Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,913
- Thread starter
- #361
Haya myajenge sasa na Manyanza 😂Na mie nipo si haba...
Haya myajenge sasa na Manyanza 😂Na mie nipo si haba...
ni nzuri ila kwa kuzingatia privace ni vyema kama ukija pm i will explain avery thing you want kama utajaliSawa ila nipe hata kaintro kuhusu wewe kabla sijafika huko PM.
Ni kuzichakata tuuuNimeona, mtoto una balaa siyo kidogo
😂😂😂😂Ukiambiwa muende hiking hata morogoro unasema subiria mwisho wa mwezi 😂😂😂
Ewaah, mambo kama hayo, sitaki 😅Ukiambiwa muende hiking hata morogoro unasema subiria mwisho wa mwezi 😂😂😂
Umekosa vigezo 😂😂2007 😳 mhh!ndo nipo la pili kaloleni msingi palee😀😀😀. asee kuhack pamoa itakuwa ngumu sanaa mybe travel and relaxation and some indoor activities pale elewana lodge ndani ya shangrilla estate
ulisema umri ni majadiliano nakukumbusha tu.Umekosa vigezo 😂😂
😂😂😂😂😂Sina, mimi ni kilema nakaliaga tumbo 🙄
Utaruhusu kukutomba?Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
- Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
- Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Kwani nyie huwa mnafanyaga ngono na marafiki zenu?
Na hao wazuri kama nini, waliokamilika kila idara ndiyo wanakuwaje?
Kama hana inabidi atembee na battery + inverter kwenye mkoba atoe nyaya mpaka makalioni sasa ili vitetemeHahhaaahaa ushaelewa vitu vyangu hilo hilo la kutetemeka
Hiyo siijui 🤣Hapana, nataka platonic friendship peke yake 😅
Aaah Dada ake nimekupa tu taarifa mapema tu.Jamani jamani
Kwa hiyo hii interview bado hamna aliyepita?😅😅Bado naendelea na mchakato
Haya bwana.Aaah Dada ake nimekupa tu taarifa mapema tu.
😂Noma sana , mimi issue za kusafiri bila sababu ndio zinanishindaga asee shakosa bao la wazi kabisa nimepaisha mpira mbele ya kipaMfano; unaishi kwa mikopo, humudu maisha yako, unalia lia shida, huwezi kumudu kusafiri safari nje ya mji unapoishi kwa mapumziko au unayo pesa ya kutosha matumizi yako na huna ziada kwa ajili ya kufurahia maisha!