Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.

Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.

Muhimu:
  • Uwe na exposure
  • Uwe open minded
  • Uwe unajitegemea
  • Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
  • Usiwe na shida ndogo ndogo

Kuhusu mimi:
  • Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
  • Mwajiriwa
  • Makazi (Arusha / Dar / Rome)
  • Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.

Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.

Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.

Asante na Alamsiki!
Wewe ruka ruka tu ila nakuona nikikuoa kimasihara
 
Unaongelea urafiki lakini pesa mbele halafu hutaki kuulizwa kuhusu mahusiano. Means unataka marafiki wa kiume wenye hela, inshort unatafuta buzi ulichune. Hakuna open minded wala cha exposure.
Kweli comprehension ni tatizo 🤦‍♀️!
 
Vijamaa ambavyo vipo arosto ambavyo vinaonja 2,3 vinafaa?😀(Msela anatest zali)
Life status yako ipoje,yani umeolewa,unaishi na mume au la!,childs you have!, what types of deep friendship do you wishes and so....!/ Mimi naishi Napoli.
Hapana hivyo havifai!
 
Mwishoni mwa miaka 1980s ndo miaka mingapi sema una miaka 40 na unatafuta mwanaume wa miaka 50 that's simple

Unazunguka Mbuyu

JF imekuwa Kama ligi kuu ya urabuni MTU akichoka kutembeza papuchi anakuja kucheki JF wa kumtunza uzeeni
Punguza kamdomo, sijasema natafuta mwanaume, hebu rudia kusoma tena.
 
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.

Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.

Muhimu:
  • Uwe na exposure
  • Uwe open minded
  • Uwe unajitegemea
  • Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
  • Usiwe na shida ndogo ndogo

Kuhusu mimi:
  • Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
  • Mwajiriwa
  • Makazi (Arusha / Dar / Rome)
  • Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.

Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.

Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.

Asante na Alamsiki!
Sisi waafrica tunazeeka vibaya miaka 40 bado una brag about kuogelea , sijui n.k ahaaa umri huo Beyonce she is richest woman na mama wa 3 kids
 
Back
Top Bottom