Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,902
- 27,660
- Thread starter
- #21
Clearly huu si uzi kwa ajili yako na type yako siyo walengwa!Umeweka tangazo halafu unasema huna huduma sasa umetangaza nini kama sio huduma?
Clearly huu si uzi kwa ajili yako na type yako siyo walengwa!Umeweka tangazo halafu unasema huna huduma sasa umetangaza nini kama sio huduma?
Mm sijafit kwenye vigezo ila naweza kukukojolesha vzr, vp hy haiwezi ku-overtake hizo qualifications ulizoandika?
Mbona maneno machache sana hayo bossWapare na maneno mengi ni hiviii🫱🫲
Unyamaze na kucomments sasaMungu nifundishe kunyamaza
Ah wapare mna manenoMbona maneno machache sana hayo boss
Hahhaaahaa ushaelewa vitu vyangu hilo hilo la kutetemekaUnamaanisha kalio kubwa la kutetema au tako gani?
Utakuwa na mifupa laini, uko wapi?Hivi under 30 uwa mnatuona tuko kama vitoto vya 2000 sio?
Haya get ready kesho nakupitia tukafanye hiking Meru camp. Pumzi si iko mamdogo auntie?
Ina maana gani?
Ndugu Isaya umefata nini tena huku unataka kutuharibia
hahahaha seat inatosha namim nije nikae niwe shuhuda, make navojua mda wote hamwez ongea mambo siliazNikijiandaa kuona open minded zisizowaza ngonoView attachment 3445599
Kwenye kusafiri hapo count me in... So tell me next journey yako umepanga iwe wapi? Both ndani na nje...Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!