Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 548
- 1,330
Binti wa zamani Ok vigezo vyote nafit, the issue ni age nipo chini ya 30 let negotiate.
kuhusu safari apa ndo nyumbani ila puprose yangu ya kusafri mara nyingi uwa ni cuisine tourism na kufika maeneo mapya kwangu ili kuwa kuyajua zaid. nje ya nchi bado sijafanikiwa kufika ila one day yes.....😀😀