naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 1,978
- 4,556
Ukiambiwa muende hiking hata morogoro unasema subiria mwisho wa mwezi 😂😂😂Shida ndogo ndogo zikoje wakuu 😂
Ukiambiwa muende hiking hata morogoro unasema subiria mwisho wa mwezi 😂😂😂Shida ndogo ndogo zikoje wakuu 😂
Hebu niambie kidogo kuhusu wewe nione kama umri utahimilika.Je mimi mwenye 26 naruhusiwa pia
Haya, kila la kheri mkuu!Brunei, bongo nyoso mkuu
Eti kwamba .... 😂 😂 😂Wewe ruka ruka tu ila nakuona nikikuoa kimasihara
Kweli maana mpaka nhwele za donut zinasimama kwa utamuYeh kutombana ni high adrenaline activitivty pia
Daaah, wewe nakuweka kwenye list yangu nyingine, kwenye urafiki haufai 😂Hapana urafiki hautakufa, tuta-form strong bond, MIDINYANO ikiwa ndio catalyst ya ushikaji wetu
😂
We are going to marry each other ,whether by force or peaceEti kwamba ....
Kuna kuoana by force pia 😂 😂 hiyo ndiyo huwa inakuwaje?We are going to marry each other ,whether by force or peace
Poa tu, muhimu huko, MIDINYANO iwe ruksaDaaah, wewe nakuweka kwenye list yangu nyingine, kwenye urafiki haufai 😂
Siku moja, uje utembee. Kuna msemo wa professor Jay wa mitulinga, anasema njoo muone Brunei watu wanavyo mwaga radhiHaya, kila la kheri mkuu!
Hajanishtukia wala nini, anarusha jiwe gizani tu 😂😹😹😹 Kwahiyo daby kakushtukia mapema km ni wewe??
Kwahiyo nawe una pdf lako la mauaji humu ndani? 😹
Nakutegeshea upo kwa shoga nakubeba bila hiyari yako kuanzia hapo unaanza kuitwa Mrs mimiKuna kuoana by force pia 😂 😂 hiyo ndiyo huwa inakuwaje?
Nimeona, mtoto una balaa siyo kidogoUmejionea lakin mamy
Bado naendelea na mchakatoAya nadhani ulishapata
Mimi ungeweka na kapicha kidogo ningekuja 🤣Bado naendelea na mchakato
Wewe ni mkorofi lakiniNimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.
Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.
Muhimu:
- Uwe na exposure
- Uwe open minded
- Uwe unajitegemea
- Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
- Usiwe na shida ndogo ndogo
Kuhusu mimi:
- Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
- Mwajiriwa
- Makazi (Arusha / Dar / Rome)
- Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.
Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.
Asante na Alamsiki!
Huna exposure ndiyo mana mtu akisema anapenda kuogelea wewe unaona ni "bragging"Sisi waafrica tunazeeka vibaya miaka 40 bado una brag about kuogelea , sijui n.k ahaaa umri huo Beyonce she is richest woman na mama wa 3 kids
Najiuliza tu, nyama itakuwa laini sana hii🤣🤣🤣Sasa mtu mzima mwenzangu, nini hujaelewa hapa 😂 😂 😂