Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.

Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.

Muhimu:
  • Uwe na exposure
  • Uwe open minded
  • Uwe unajitegemea
  • Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
  • Usiwe na shida ndogo ndogo

Kuhusu mimi:
  • Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
  • Mwajiriwa
  • Makazi (Arusha / Dar / Rome)
  • Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.

  1. Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
  2. Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)

Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.

Asante na Alamsiki!
Nakutumia CV kabisa ili nisipate shida kujieleza.
 
Kama hana inabidi atembee na battery + inverter kwenye mkoba atoe nyaya mpaka makalioni sasa ili viteteme
200.gif

“Ili viteteme?”

Ila The-unknown unanichukuliaje lakini 🤣🤣🤣
 
😂Noma sana , mimi issue za kusafiri bila sababu ndio zinanishindaga asee shakosa bao la wazi kabisa nimepaisha mpira mbele ya kipa
Si unasafiri kwa ajili ya mapumziko, au hiyo sababu bado haijajitosheleza?
 
Hawa wakipita ni friends for life, mimi sitafuti short term companionship.
Najaribu kukuelewa lakini kwa mtu kujieleza hapa public nadahani hutopata unachokihitaji maana ni kama unatweza utu wake pia ulishaweka vigezo vyako ni vyema kama ungekua na njia yako ya kupokea maombi na kuyachaka kuliko kuhitaji mtu ajieeleze katika uwanja huu wa coment najaribu kuwaza kwa sauti tu
 
Mbona mimi nimeji-introduced juu juu tu bila kutoa taarifa binafsi ila msomaji anapata idea mimi ni nani.

Kweli inawezekana mtu ushindwe kusema hata kitu kimoja kukuhusu wewe?
 
Back
Top Bottom