Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Nipo hapa,ila sina maisha ,pesa bado nazisaka,maisha tough nimepanga geto chumba na sebule ,watoto wakutosha,
Sasa hapo nafeli shida ndogo ndogo ninazo,japo namiliki akili ,bonge la Milankolic,sipendi koleliki wanaongea mno
Sawa ndugu, endelea kupambana, nakutakia kila heri kwenye harakati zako!
 
Back
Top Bottom