Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Surely, resentment is impurity of the heart.😃
giphy.gif
 
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.

Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.

Muhimu:
  • Uwe na exposure
  • Uwe open minded
  • Uwe unajitegemea
  • Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
  • Usiwe na shida ndogo ndogo

Kuhusu mimi:
  • Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
  • Mwajiriwa
  • Makazi (Arusha / Dar / Rome)
  • Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.

  1. Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
  2. Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)

Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.

Asante na Alamsiki!
 
Friendship qualifications 😄 🤣?
Marafiki ni baraka itokayo kwa Mungu hawatafutwi! Tinapata rafiki wazuri ktk siku au incidences tusizozijua! No hard feelings
 
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.

Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.

Muhimu:
  • Uwe na exposure
  • Uwe open minded
  • Uwe unajitegemea
  • Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
  • Usiwe na shida ndogo ndogo

Kuhusu mimi:
  • Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
  • Mwajiriwa
  • Makazi (Arusha / Dar / Rome)
  • Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.

  1. Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
  2. Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)

Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.

Asante na Alamsiki!
  • kuhusu mimi
    Mwanume kijana wa miaka ya 90
    mkazi wa Dar
    nimejiajiri/mjasiriamali/
    napenda kuogelea/ kusoma traveling music muvi kula vizuri haswa kinachopokwa ama kupika mwenyewe
 
Si unaona umeweza na mpaka hapo nimependa intro.

✅✅✅ - shortlisted
 
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.

Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.

Muhimu:
  • Uwe na exposure
  • Uwe open minded
  • Uwe unajitegemea
  • Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
  • Usiwe na shida ndogo ndogo

Kuhusu mimi:
  • Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
  • Mwajiriwa
  • Makazi (Arusha / Dar / Rome)
  • Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.

  1. Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
  2. Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)

Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.

Asante na Alamsiki!
Utatulipa dollar ngapi kwa masaa ambayo tuta spend pamoja ?
 
Back
Top Bottom