Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

Umri ni negotiable ikiwa vigezo vingine vimetimia na tutaweza kuelewana.
Moja ya marafiki zangu wa karibu ni mmama ana miaka 72, so si kitu cha ajabu sana.
😀😀😀 Nina urafiki na Mama umenizidi miaka 20 yaani huwa nauambiaga hivi
You treat me like u your Son and Your friend 😝
Basi hapo ni vicheko na mahug kama yote 😍
 
We unajua
Bored Celebrity Big Brother GIF by Big Brother.gif
 
Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu.

Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja.

Muhimu:
  • Uwe na exposure
  • Uwe open minded
  • Uwe unajitegemea
  • Ukiwa umeoa / umeolewa na una familia ni poa zaidi
  • Usiwe na shida ndogo ndogo

Kuhusu mimi:
  • Mwanamke wa makamo (nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 80)
  • Mwajiriwa
  • Makazi (Arusha / Dar / Rome)
  • Napenda kusoma, kuandika, kusafiri, kula, kupika, kuogelea, hiking or long walks, na high adrenaline activities.

  1. Ukija, jitambulishe na niambie kuhusu wewe.
  2. Wenye umri wa zaidi ya miaka 50, mnakaribishwa pia (umri unaweza kuwa negotiable kama umekidhi vigezo vingine)

Feel free kuniuliza swali lolote except status yangu ya mahusiano maana haihusiani na urafiki.

Asante na Alamsiki!
Mimi ni mtoto katika familia ya kitajiri.
Nina LC 300 na BMW X6
Nina watoto but still in liquid form
Nimezaliwa kwenye late of 80's
Hobbies: Ball bed, cuddling, driving, basketball
 
Swali zuri, malengo ya pamoja na ushirikiano vinawezekana.
Muhimu ni kutengeneza foundation nzuri ya urafiki yenye uaminifu na maelewano.
Pia, kuwa na mawazo yanayoendana kibiashara na kiuwekezaji.

Happy to find a friend ambaye tunaweza kushare mambo haya ya kimaendeleo.
You are wise and indeed open-minded!Hongera sana.
Naamini kuwa na malengo ya pamoja kunaongeza wigo wa kuinteract. Theres time for small talk and time for real talk that moves the needle. Good luck dear.
 
Back
Top Bottom