natafuta marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hekima ni Mwalimu

    JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki wa kike

    Jamani uwezi amini sina rafiki wakike mwanamke yeyote anaye hitaji rafiki wa kiume nipo hapa karibu ,ni pm/DM me .
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki wa kubadilisha mawazo
  3. nodetz

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki waislamu

    Wakubwa najua haiwahusu ila jana nimebadili dini rasimi na kua mwisilamu so nahisi naitaji marafiki wapya wanao elewa uislamu pls kama uko tiyali njoo inbox
  4. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Anayejitambua miaka 30 - 50, njoo tuyajenge

    Nimefanikiwa kupata marafiki kadhaa JF over the years ila harakati za maisha zimehamisha marafiki wengi wa karibu. Natafuta serious new friends, zaidi kwa ajili ya kubadilishana mawazo na pia kusafiri pamoja. Muhimu: Uwe na exposure Uwe open minded Uwe unajitegemea Ukiwa umeoa / umeolewa na...
Back
Top Bottom