Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Ukimwelewa mwanamke ujue unakaribia kufa hakuna aliyeweza kumridhisha mwanamke na hatakaaa atokee cha umuhimu ni kuishi nao kwa akili
Kweli kabisa đź’Ż, angalia wanawake wanaojiuza utakuta anatembea na jemba zaidi ya kumi (10), kwa siku, na wote wanamitulinga tofauti tofauti na shimo ni hilo moja ,linapanuka kulingana na size ya dushe lako, vibamia wakifika ni kuogelea na kuchukuwa muda kumaliza maana inabidi uvute hisia ya mwajuma ndala mbovu wa mbagala, ndiyo ufike. Sasa kadude kako ndo useme unamuridhisha labda kama unatafuta kilema Cha mgongo, na mwili kudhoofika. Hawa viumbe ukitaka usirukwe na akili inabidi uwe nao wengi Sana maumbo tofauti, sura tofauti, rangi tofauti hawataweza kukupa stress kabisa maana ukiona yeyote barabarani unajua huyu hana tofauti na yule, hivyo inakupa tulizo la akili.
 
Ila katibu ana pisi kali sijawahi ona nimemfananisha na ma star wa kike wa bongo bado sijaona wa kumlinganisha nae iweje ajiue kisa mke wa masanja na lile komwe lake?
Yani lile komwe pale juu ni kama terminal 3 ya pale airport.. yani hata airbus inaweza kutua bila shida [emoji23]

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20221013-WA0062.jpg
    IMG-20221013-WA0062.jpg
    68.8 KB · Views: 13
  • IMG-20221013-WA0070.jpg
    IMG-20221013-WA0070.jpg
    42.6 KB · Views: 14
  • IMG-20221013-WA0053.jpg
    IMG-20221013-WA0053.jpg
    68.1 KB · Views: 13
  • IMG-20221013-WA0020.jpg
    IMG-20221013-WA0020.jpg
    38.4 KB · Views: 15
  • IMG-20221013-WA0016.jpg
    IMG-20221013-WA0016.jpg
    80.2 KB · Views: 17
Mtoto kopi na KATIBu wa askofu
Nadharia pandikizi
Baada ya ndoa nagundua wife bado ana mawasiliano na x wake lakini kwa viapo vya kiimani anakana katakata tena kwa kushika msahafu na kujiapiza malipizi mabaya
Katikati ya mishe za maisha x wa wife kwa hali ya utatanifu mkubwa anakuja kuwa msaidizi wangu kwenye mishe zangu .. CV yake inapewa backup kubwa na mkewangu ambaye ni x wake!

Yanatokea mengi machache yenye viashiria vya mwendelezo wa mahusiano lakini kwa taswira yangu mbele ya jamii inabidi nilitatue hili kwa umakini wa hali ya juu
Kutokana na majukumu ya msaidizi wangu kuna nyakati inabidi awe karibu na mkewangu ambaye ni x wake! Napambana kwa hali na mali ili msaidizi wangu apate mke halali wa ndoa na hilo nalifanikisha kwa weledi mkubwa

Mimi na mke wangu tunapata watoto wawili wa haraka haraka.. Lakini badala ya furaha kuongezeka ndani ya familia.. Malaika hawa wanazua balaa jipya! Zinaanza kuenea tetesi za kwamba hawa si damu yangu, lakini vilevile kukiwa na viashiria vya mwendelezo wa mahusiano kati ya wawili hawa.. Hali ni tete mno na inabidi nifanye jambo la haraka lakini kwa umakini mkubwa sana

Nakesha nikitafuta njia sahihi ya kutatua hili tatizo moja kwa moja, niliposhindwa kabisa nawatafuta wasiri wangu na kunipa mkakati wenye kuogofya lakini ukiwa ndio bora zaidi

Napewa ramani nzima na gharama zake na uhakika wa kazi! Watenda kazi husika wananihakikishia hiyo sio kazi yao ya kwanza na wananitajia mifano kadhaa.. Nashawishika kuwaamini kwakuwa wana connection mpaka kwenye sifongo
Nawalipa kinachowahusu, huwa hawapokei nusu maana wana hakika na kazi yao! Mimi sitakiwi kuwepo wakati kazi ikifanyika hivyo natafutiwa ziara kuepusha mengi, yangu na ya jamii

Kazi inafanyika kwa ukamilifu napata taarifa nikiwa ziarani na natumiwa ujumbe wa mwendazake kwanini akaamua kufanya aliyofanya
Kwa haraka kabisa bila kuwaza mara mbili napost mitandaoni kumtangazia msamaha mkewangu mpenzi
Halafu baada tu ya mazishi narejea kutoka ziarani na kuwasuta wambea juu ya mkewangu na ndoa yangu! Najizuia kabisa kuwataja 'wanangu'

Namna ishu ilivyopelekwa kuanzia kifo mpaka mazishi naamini kweli wale walikuwa watu wa kazi! Nawapongeza kimoyomoyo.. Halafu katikati ya pongezi natumiwa picha za malaika wawiki copyright na mwendazake!
Napata kizunguzungu kibaya
Nahisi mapigo ya moyo yakipiga kwa nguvu sana
Nahisi koo likikauka kabisa huku meno yakitoa jasho la moto.. Masikioni kuna mivumo ya sauti za kutisha
Natamani nipige kelele na kukimbia huku nikisema sio mimi..

Ufahamu unanirejea na kujikuta nakodolea macho zile sura.. Kwa sekunde unapita mkanda kama wa cinema mwanzo wa matukio mpaka hapo...kumbe kuna hawa walisahaulika...

Kumbe huu sio mwisho basi ni mwanzo mwingine wenye kutisha mno...ninachowaza ni future yangu hasa ile siku nitakapotiwa pingu na kupelekwa jengo la serikali.. Breaking news na nderemo za haters,🥱
 
Anayepitia wakati mgumu ni wewe ambaye unahangaika na maisha ya mtu ambaye hakuhusu
Kibaya mwezio amekubali na amesema hata angekufa laivu

Wewe umbea wako unahis unamkomoa
Si bora laivu kuliko kuachiwa mtoto
 
Nashauri.
Ukipenda kuoa mnyarwanda kwa sababu zako zo zote basi usioe wa Rwanda. Nenda mikoa ya Kagera, Kigoma, Geita na Shinyanga maeneo ya Kahama utawapata. Kwa kiasi hawa wamechanganya na tamaaduni za waha hivyo wana ka uvumilivu fulani katika ndoa. Hata hivyo, ukienda hayo maeneo tafuta wananzengo wakuoneshe yupi uoe.

Angalizo:

Mahari yao ni kubwa jiandae na 2-4 milion Tsh.
Angalia member mwenzetu Khantwe alivyofanyiwa na huyu mnyarwanda. Na iyo ni harusi hadharani. Je huko faragha

Screenshot_20221013-180456.jpg
Screenshot_20221013-180456~2.jpg


King Kong III Numbisa
 
Polisi wameshasema wanaendelea nanuchunguzi.

Kama una nia njema peleka clues polisi waweze kufanyiakazi. Kujimwambafy mitandaoni ni dalili mnapikapika taarifa
Umetumwa?

Naona kama unachochea moto wa petrol INDIRECT....
 
Back
Top Bottom