1. "Nimeamua kujiuzuru Kwa sababu nilikuwa mkaidi dhidi ya bosi wangu, ikapelekea kunipiga pini kila upande (kisaikolojia), hatimaye nikashindwa kupumua"
2. "Nimejiuzulu ila mimi na bosi wangu ni kitu kimoja Kwa lengo la kuivuta 2030 (Kwa sababu za ndani / nje)
Angalizo
1. Usipende kumpandishia mabega bosi tena mbele ya wafanyakazi wenzako.
2. Bosi wako hata kama unapiga naye maramani ya pembeni (Sirini) kamwe usije kuwadharau wafanyakazi wenzako Kwa kuwaona wajinga.
3. Tumia saikolojia ya kuzaliwa kumtii,kumheshimu na kufanya kazi Kwa weledi dhidi ya bosi wako.
---Kukitokea mvutano wa jambo kati ya bosi na wafanyakazi egemea upande wako (kifaida) Huku ukichunga kutokumuudhi
bosi.
Acha,acha tena acha ujinga wa mwaka 1990 kujifanya kiherehere Cha kutetea maslahi ya walio wengi 🤣😁😂 kitakulamba !!!