Amyner..Miss you so Much!

Amyner..Miss you so Much!

Yaani sana tu. Moyo nao umeshangiliaaaa......
Ila najua hukawii kunichenji...
Baadae tu unanipa makavu na kunikana.
Hahahaaaa acha wasiwasi mama aisee mbona huniamini?
 
Huaminiki my bobo....!
Umeshanikana Mara kadhaa tena hadharani.
Hahahaaa yan Remmy comment huwa zinanifanya nacheka kwa sauti lol
I real like you
 
Last edited by a moderator:
b52.jpg

Kipipi naomba mpelekee Amyner picha yangu!​
Mwambie nampa wimbo wa Diamond 'Ukilala lala salama'
 
hahahaaa........
Kweli usiombe kung'atwa na mdudu wa mapenzi!
Endelea kushikamana tu mwaya, salamu zako zitafika tu wala usijali!

Kama nisipozipeleka mie basi njiwa yupo kwa ajili hiyo!
Najua usipozipeleka wewe ni wivu umekusababishia Kipipi lol
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom