Miss you mumy pdidy so much much much .r.i.p

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,957
22,156
2012 jun 12
Ilikuwa siku yahuzuni kwangu
sifa zirudi kwa yeye muumba aliemleta mama yangi duniani na kumtwaa

ahsante kunifikisha hapa nilipo leo hii naweza kutumia touch screen...

Leo ni miaka miwiili mama yangu tangu utwaliwe na bwana yesu....najua tulikupenda ila mungu alikupenda zaidi

unakumbukwa na watoto wako wajukuu wako na invisb na leo hii tuna mamod wazuri wakali kuliko wale kipindi kile mumy

in christ

Tunasema heri walewafao katika bwana

kwa niaba ya familia nawashukuru wote walioshiriki kaatika hali namali mpaka tukampumzisha mama yetu kwenye nyumba yake ya milele

amemaliza kazi yake dunian ni maombi yangu nasi tuishi maisha matakatifu mungu atisaidie tiweze kuona ufalme wa mungu

bwana ametoa bwana ametwaa jinalake lihimidiwe

miss you much mama pdidy
will remember you always

Yours
Pdidy


 
Utabaki kuwa mungu

utabaki kuwa mungu

yehova shama
 
Atutakuwa na mpunga kma mwaka jana tuna tatizo la majji via dawasco
tuzidi kumwombea mungu ampe rehema zake

rip mumytody
 
Pidyd we ni mnyarwanda eti mi nishashindwa kukuelewa andika yako
 
Pole Pdidy,nami nimempoteza mama miezi michache iliyopita RIP our mama.

Ooh POLESANA MKUU
MUNGU ATUPE NGUVU YA KUVUMILIA KUSAAHAU NI UONGO

AKUNA KAMA MAMA DUNIAN MKUU NAJUA MAZURI YA MAMA

MUNGU AWALAZEPEMA PEPONI
 
pidyd we ni mnyarwanda eti mi nishashindwa kukuelewa andika yako

haaahaaa yaani ninyi ndio mnaongeaga na simu kanisani hny nakuja


tunakumbuka marehemu waliotupenda unaongelea kuelewana kwani lazima unielewew wewee wasukuma kibao wanaelewa nini mmakua w!ala usipqte shida kunielewa

ila nimemaindi hata huna huruma ya pole unakimbilia kunielewa walionipa pole wanyarwanda??ama

loh bokoharamu sio lagos pekee ......
 
haaahaaa yaani ninyi ndio mnaongeaga na simu kanisani hny nakuja


tunakumbuka marehemu waliotupenda unaongelea kuelewana kwani lazima unielewew wewee wasukuma kibao wanaelewa nini mmakua w!ala usipqte shida kunielewa

ila nimemaindi hata huna huruma ya pole unakimbilia kunielewa walionipa pole wanyarwanda??ama

loh bokoharamu sio lagos pekee ......

Pole ushapewa nyingi zinakutosha,sio lazima kukuelewa ila kama ni kachumbari we ni kachumbari ya achali
 
Pdidy pole sana kaka Mungu awape roho za subira na uvumilivu!!!!!!

Hakika kusahau kabisa ni ngumu!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom