Amyner..Miss you so Much!

Mheshimiwa supika Erickb52 nina swali la nyongeza
Niko meatu na watoto wako wana njaa sana hawajaona nyama kwa mwezi wa jana na mwaka mpya mpaka leo. Hivi una mpango gani wa kuwanunulia nyama na kuwatumia pesa za matumizi
 
Last edited by a moderator:

Judgement soma kwanza Mitekenyano ili somo lieleweke.

Buza napapenda sana, ntafutie hata 20x20 mi ntajenga tu ili mradi tuwe majirani na hapo lazima funguo zangu ziwe zinabaki hapo kwako.

Sio funguo tu! Mamndenyi !
Nna imani hata "bushanga - bwa - dini" utaniachia tu! Si wajua porini hamna itikadi !
Haya mi nshafika Buza.
Nakuandalia makao.
Uje ujue kufaudu kufaudiwa & kufaudiana.
Chaoo!
 
Last edited by a moderator:
Judgement walau ujio wako leo umenipa burudani,
nitafutie eneo usije sema nina cheat chart mkuu,
itakuwa poa tukiwa majirani zaidi,
vipi yule mjomba wako bado yupo?

Sio funguo tu! Mamndenyi !
Nna imani hata "bushanga - bwa - dini" utaniachia tu! Si wajua porini hamna itikadi !
Haya mi nshafika Buza.
Nakuandalia makao.
Uje ujue kufaudu na kufaudiwa & kufaudiana.
Chaoo!
 
Last edited by a moderator:
Judgement walau ujio wako leo umenipa burudani,
nitafutie eneo usije sema nina cheat chart mkuu,
itakuwa poa tukiwa majirani zaidi,
vipi yule mjomba wako bado yupo?

Unajua Mamndenyi mwenzio nilikua nakaribia kufika Buza?
Hapa wajua umenivuta msuli wangu?
Msuli wenyewe "mchemsho" (hauna nyanya, kitunguu wala mafuta) kule Unguja sijui wanaitaje vilee! Sijui kuchukuchu kama skosei hivi! Sasa wasiwasi wangu waeza nionyesha nyerunyeru mwisho nikajikuta mjini !
Na huko mjini mitihani !
Wanasema "ukitaka kujua njia za chocho/mikato basi kula nauli!" nikirudi huko town ntasakafia nauli.
Ilhali chocho za kurudia Buza, masika hazipitiki.
Hata hivyo pia huku kutamu.
Eneo umepata!
N'takukatia upendavyo!
Nisikukatie kisa!? Majomba tuko nae kilimoni .
 
Last edited by a moderator:
Judgment wewe ni mtu muhimu sana na wala huwezi ukafanya mchezo wa anaanado aise uwepo au usiwepo. Jibu hapa ni kuwa lazima uwepo no matter what
Hao wakuda achana nao bana wewe ni jamii ndani ya chit chat na wapaswa kuwepo humu iwe isiwe
Vingine ni mbwembwe tuu mkuu
 
Last edited by a moderator:
Judgement misamiati yako inaniacha hoi mie
si unajua ile ya maneno matamu yalimtoa nyoka kwenye pango
nahisi hata wewe umekuwa burudiko la moyo wangu leo baada
ya wa ubani wangu Vin Diesel kuniwekea ngumu
but isiwe shida hapa lazima nitahamia Buza, na ikiwezekana mvua nyingine kama hizi
zinikute huko maskani kwako,
Nipelekee salamu zangu kwa mjomba tena mwambie kuna
hibrid huko mjini inakusabahi na walahi iko siku atanitia kwenye macho
yake ya nyama.

Kila la kheri kwenye kulijenga taifa hili lililomeguka vipande vipande.

Kiongozi Mr Rocky !
Manenoyo "mswaki wa mti, hapahitajiki Golgeti !"
nayatafakuri kwa kina!
 
Hii ndiyo digitali ! Analog tupa kulee! Ni kama unakaribia kupiga central baracks hivi !
Infontrier umeshatekeza! Umebakiza green'guard na ukichapa guard ya kijani ni uso wako na uso wa "Jumba nyangenyange" uki'atack Jumba jeupe! Si umesimika flag !
 
Last edited by a moderator:
QUOTE=Judgement;5422547]Kiongozi Mr Rocky !
Manenoyo "mswaki wa mti, hapahitajiki Golgeti !"
nayatafakuri kwa kina![/QUOTE]
Sasa mkuu Judgment karibu sana jamvivi aise wala usitishwe na maneno ya mtaani aise
s
 
Last edited by a moderator:
QUOTE=Judgement;5422547]Kiongozi Mr Rocky !
Manenoyo "mswaki wa mti, hapahitajiki Golgeti !"
nayatafakuri kwa kina!
Sasa mkuu Judgment karibu sana jamvivi aise wala usitishwe na maneno ya mtaani aise
s[/QUOTE]

Mkuu shaka itupe analog!
Wa kun'tisha hata mamie hajazaliwa! Basi tu, ni ktk haya na yale.
Nawasoma vema wewe na mtoa mada!
 
Last edited by a moderator:
Sasa mkuu Judgment karibu sana jamvivi aise wala usitishwe na maneno ya mtaani aise
s

Mkuu shaka itupe analog!
Wa kun'tisha hata mamie hajazaliwa! Basi tu, ni ktk haya na yale.
Nawasoma vema wewe na mtoa mada![/QUOTE]

Judgement mkuu habari yako.... nafurahi sana kukuona jamvini tene. U hali gani??? Usharudi TZ????
 
Last edited by a moderator:
Mkuu shaka itupe analog!
Wa kun'tisha hata mamie hajazaliwa! Basi tu, ni ktk haya na yale.
Nawasoma vema wewe na mtoa mada!

Judgement mkuu habari yako.... nafurahi sana kukuona jamvini tene. U hali gani??? Usharudi TZ????[/QUOTE]

Heshma yako shemeji !
Yaani ilikua bado kidogo tu!
Nikuskumie li'shkamoo! Nishaanza kusahau nani mkubwa nani mdogo humu ujue!
Nilisharejea kitambo mbona toka Nyayo.
Bt sipo Rock cirry for the tym being. Niko maghrb ya nchi.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa kurudi Judgement!

Mwanajeshi wangu!
Arushaone , nakupata!
Eventhough wajua nilivamia hapa kinyemela si kiprotokali , kufuatia uzito wa kilio cha ndg yetu B52 .
So far ninahitaji nirudi kiitifaki.
Nitahitaji ku'acknowledge my loving people who they given moral support na advice .
Soon we w'll be together mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom