Hahahaha! Kweli uko kwenye hali mbaya lol! Mpaka umefukua uzi wa zamani???
Ndio Kipipi imefika tayari....ni saa 5 na dakika 5 usiku
Hahahhahaahaaaaaa Kipipi huo ni uchokozi aisee...!
Nimeufukunyua mbaliiiiiii dah we hujammiss?
Kweli huu muda wa kulala tu
waoh Kipipi upo ndugu yangu? na wewe nimekumis!