Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Hope u mzima wa Afya huko uliko!
Najua wapo wengi wanaokumiss Amyner ila nahisi mi nimekumiss zaidi yao!
Nimekuwa mpweke nikifarijiwa na kaka zangu Asprin Kaizer na Bishanga na wapenzi wao akina cacico CUTE The secretary na Catherine
Pia nawashukuru sana Remmy BADILI TABIA Yummy na sweetlady kwa kunipa kampan na kuuondoa upweke wangu na kunifanya nione niko nawe....!
Sitamsahau Mr Rocky na platozoom Judgement na beibe nasty bila kumsahau dada yangu kipenzi Roulette wako sambamba nami.
Miss you so much Amyner...Come back Please!