Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
- Thread starter
- #81
Ngoja weekend atakuja kufundwa anishike zaidi niwasahau akina Remmy na BADILI TABIAmlete Amyner nimfunde uone
Last edited by a moderator:
Ngoja weekend atakuja kufundwa anishike zaidi niwasahau akina Remmy na BADILI TABIAmlete Amyner nimfunde uone
USIJALI MDOGO WANGU.Kama unataka wa peke yako check na Nyani Ngabu huyo tu ndio namuamini ingawa hata mwanzo nilimuamini sana PakaJimmy ila alipoonyesha interest kwa Remmy nimemtoa kwenye list
Pia The Boss alionyesha kummendea Amyner wakati wa nataka kuachika lol sina imani nao tena
Hahahaa PakaJimmy hata hivyo nimejitoa kwake nimeamua kurudi mzima mzima kwa bibie wangu Amyner lolUSIJALI MDOGO WANGU.
Nilionyesha interest naye kwasababu tu, jamaa yake wa kila siku alimuumiza moyo, sasa alikuwa ananiita ili nimpe ushauri binafsi na nasaha za kuushinda upweke!
Nadhani imani yako kwangu imerudi!...au?
BADILI TABIA ndo maana nakupendaga sana aisee lol
Halafu jana sijakuona kabisa ndio mawazo yakanizidi sana lol
Come hapa tulonge kidogo
Unamharibia ili niache kumpa ushauri binafsi eeh?...Mimi ni profeshino bana, watu wagomvi kama yeye ndio tunakojifunza ku-apply mbinu za ziada!
shshshshshshsh babu Asprin kaniambia kaenda mabwepande kutafuta assistance, kuna watu anataka kuwang'oa kucha na meno! wanacheza na wake zake, shaurilo, kaweka ulinzi mpaka ndotoni khaaaaaaa! twafwa siye!Kwikkwikwikwikwiiii
Mi mzima na hii sio faida bali hasara kabisa maana waweza umwa
BTW Mi mzima....ile ndoto tutaiota ijumaa eeeeh?
Nimeimiss sana aisee
Hahahaaaa yan cacico umesahau kuwa mi ndio msaidizi wa babu?shshshshshshsh babu Asprin kaniambia kaenda mabwepande kutafuta assistance, kuna watu anataka kuwang'oa kucha na meno! wanacheza na wake zake, shaurilo, kaweka ulinzi mpaka ndotoni khaaaaaaa! twafwa siye!
no comment! kuna kaukweli ndani yake.aisee tena usimchezee kabisa..............labda nikutajie sifa ni kubota ama Ferguson machine ni mtaalam wa aerobics na gymnastics ile mbaya. huwa anakaza sura kma jakline wolper na siyo mwoga kama wema sepetu.
ila usiwe na hofu wewe huwez kunichukulia ma swtlo Kaizer huyu zake huziwez aisee ni nyuz 360 vibration imo mfyonzo unahuu kwa sana. so hakuna mwenye qualifications hizo. nilijaribu tu kumpaka Asprin dawa aliuua wk nzima kwa ma vibration na nyie wote mliokwenda kukaguliwa akiwemo cacico mlichemsha. hapa ulipita msondo bana wa kianchali. chazeya mimi kungwi wa jf.
Hapo kwenye blue sipaafiki hata kidogoUnamharibia ili niache kumpa ushauri binafsi eeh?...Mimi ni profeshino bana, watu wagomvi kama yeye ndio tunakojifunza ku-apply mbinu za ziada!
Lakini , labda kwa ufupi tu, umesikia mambo ya Amyner ya juzi jumapili?...kama umesikia najua utakuwa na roho ngumu ka paka-mweusi!
aisee tena usimchezee kabisa..............labda nikutajie sifa ni kubota ama Ferguson machine ni mtaalam wa aerobics na gymnastics ile mbaya. huwa anakaza sura kma jakline wolper na siyo mwoga kama wema sepetu.
ila usiwe na hofu wewe huwez kunichukulia ma swtlo Kaizer huyu zake huziwez aisee ni nyuz 360 vibration imo mfyonzo unahuu kwa sana. so hakuna mwenye qualifications hizo. nilijaribu tu kumpaka Asprin dawa aliuua wk nzima kwa ma vibration na nyie wote mliokwenda kukaguliwa akiwemo cacico mlichemsha. hapa ulipita msondo bana wa kianchali. chazeya mimi kungwi wa jf.
Lolno comment! kuna kaukweli ndani yake.
Yan badala ya kunambia mimi nikununulie mpya unaniambia mambo ya Asprin ? BADILI TABIA naona unatafuta ugomvi na cacico tena yuko hapahapasimu yangu inajirestisha in pisi.....
imegoma kukamata network, inaniambia insert sim card....nimeudhikaje.....
hapa navizia Asprin aninunulie mpya...
Teh na wewe anza kumpa kichapo BADILI TABIA naona anataka kununuliwa simu na Asprinni angalizo tu my dear! nahofia uzima wako, na moi bado wamegoma!
charminglady alinifundisha yeye huyohuyo ninayemmissMh, full maubunifu.... Meipenda
yule mke mwenzangu , haina shobo! Hata akipewa ule mgari lamborghin! Mie ahhhh roho nyupe!teh na wewe anza kumpa kichapo badili tabia naona anataka kununuliwa simu na asprin
lol mkuki kwa nguruwe eeeh?
Kwa kukusaidia tu, huenda unamjua dogo mwenzio mmoja anaeitwa The Finest huyu dogo si mzuri!..unajua yuko wapi siku hizi?...Fanya utafiti utakutana na makubwa!..(lakini usinitaje kuwa mimi ndo nilikwambia)Hapo kwenye blue sipaafiki hata kidogo
Kwanza PakaJimmy acha kunipotezea mudi unajua Jumapili niliongea nae akawa anaongea haraka sana then nkamuaga baadae nampigia hapatikani hadi sasa....
Dah una taarifa zozote?