Ooooh my boo... Erickb52 !!!
Wewe naweeee!
Unajua ingekuwa kipindi kile mmetugombanisha sawa ila kwa sasa hampati kitu.
Ooooh my boo... Erickb52 !!!
Kwa uzito pia na umuhimu wa Thrade hii ya bwa'mdogo wangu @52 , imenilazimu nitie maguu (kwa dharura)
Baada ya kukiona kilio cha ndg yangu kumtafuta "usingizi wake" tena kwa kilio cha hadharani!
Na "usingizi wake" uka respond wito! Nimefarajishwa sana na Amyner kumtendea haki mwenza wake! .
Aidha niondoke kurudi nilipovundumkia nikiacha a certain message to chtcht members ;
The first step toward change is ACCEPTANCE!
"Once you accept yourself , you open the door to change , that's all you have to do!"
Change is not somethin you do!
It's somethin yo allow! .
Kila la kheri Amyner (my shem) together with Erickb52 , kamueni .
Hopely ujumbe wangu umefika kwa niliowakusudia i'm back to Buza .
Kwa uzito pia na umuhimu wa Thrade hii ya bwa'mdogo wangu @52 , imenilazimu nitie maguu (kwa dharura)
Baada ya kukiona kilio cha ndg yangu kumtafuta "usingizi wake" tena kwa kilio cha hadharani!
Na "usingizi wake" uka respond wito! Nimefarajishwa sana na Amyner kumtendea haki mwenza wake!
Aidha niondoke kurudi nilipovundumkia nikiacha a certain message to chtcht members ;
The first step toward change is ACCEPTANCE!
"Once you accept yourself , you open the door to change , that's all you have to do!"
Change is not somethin you do!
It's somethin yo allow! .
Kila la kheri Amyner (my shem) together with Erickb52 , kamueni .
Hopely ujumbe wangu umefika kwa niliowakusudia i'm back to Buza .
Yes lov
Nilikumiss sana.
Hivi unajua yalojili tangu uende likizo?
Usijali ntakueleza!
Btw umeamkaje? Mi napata kifungua kinywa karibu