Matokeo ya MISS CHITCHAT nusu fainali,haya hapa

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
wakubwa,
Yafutayo ni matokeo ya nusu fainali

(A)Jumla ya kura zilizopigwa harali ni 42


[COLOR="#000000"[U][B]KUNDI A[/B][/U[/COLOR]

(B) Jumla ya kura zilizo pigwa katika kundi hili ni 22
[COLOR="#800080"]1. Arabela = kura 2
2. Remmy = kura 10
3. beibe nasty = kura 0
4. eversmilling gal = kura 1
5. Madame B = kura 9


KUNDI 'B'

(C) Jumala ya kura zilizo pigwa katika kundi hili ni 20
1. charminglady = kura 11
2. BADILI TABIA = kura 3
3. Yummy = kura 3
4. CUTE = kura 3
5. CATHELINE = kura 0

(D) Kutokana na matoke haya,nachua rasmi kuwatangaza wafuatao;-
[COLOR="#0000FF" [USER=16543]Remmy[/USER] toka kundi 'A' kura 10 na [USER=86898]charminglady[/USER] toka kundi 'B' kura 11[/COLOR]
[COLOR="#0000CD"] kuwa ndio wanaoingia fainali kuchuana ili kumpata miss chitchat sept.

Aidha nawashukuru wote ambao wamejitokeza kupigakura,na nawaomba kujitokeza kupiga kura katika fainail zitakazo tangazwa muda si murefu katika thread maalum.

Ahsanteni
[/COLOR][/COLOR]
 
Last edited by a moderator:
Ruhazwe JR hapa Remmy lazma ashinde acha kuchakachua aisee
Hebu achana na mambo ya nusu fainali Tangaza mshindi faster
 
Last edited by a moderator:
Tangu Lini X wako akakuweka ktk shindano.
"Lundenga" wewe ni Muongo,
Catherin nimempigia kura halaf u unatangaza kuwa eti hajapata kura.
 
Last edited by a moderator:
Remmy ahadi ni deni.. Timiza kwanza ahadi yako ya Kitumbua. Nina kura 35 zangu mwenyewe pia kura 23 za watu wangu wa karibu.
 
Last edited by a moderator:
Lundenga Naomba ueleze kama ulibaini kuna watu walipiga kura mara mbili.
 
Bora wangu umebaini hilo tatizo!
Na kuna watu wamepiga kura marambili sijui kama Lundega kabaini hilo!

Tangu Lini X wako akakuweka ktk shindano.
"Lundenga" wewe ni Muongo,
Catherin nimempigia kura halaf u unatangaza kuwa eti hajapata kura.
 
Last edited by a moderator:
Tangu Lini X wako akakuweka ktk shindano.
"Lundenga" wewe ni Muongo,
Catherin nimempigia kura halaf u unatangaza kuwa eti hajapata kura.

ha,ha,ha....kura zako nyingi zimeharibika kutoka na kukiuka mashart,wewe kila mtu unampa kura,hivyo uongoz uli hesabu kura ya kwanya.pole tukutane kwenye thready ya fainali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom