Amyner..Miss you so Much!

yule mke mwenzangu , haina shobo! Hata akipewa ule mgari lamborghin! Mie ahhhh roho nyupe!
Mh sasa kwani mi na Asprin si tuko pamoja na ndio maana huwa ananikabidhi kazi ya kukagua wajukuu anapokuwa busy au anapokuwa kabanwa na ukaguzi wa wale ving'ang'anizi lol
Mi nasisitiza cacico siogopi na hanifanyi lolote zaidi ya kuniuliza ukaguzi uliendaje
 
Last edited by a moderator:
Kwa kukusaidia tu, huenda unamjua dogo mwenzio mmoja anaeitwa The Finest huyu dogo si mzuri!..unajua yuko wapi siku hizi?...Fanya utafiti utakutana na makubwa!..(lakini usinitaje kuwa mimi ndo nilikwambia)
Mh sijawahi kudhania kuwa TF ndo noma mi mawazo yangu yalikuwa kwa The Boss coz kuna wakati alikuta tunagombana eti akawa anamvuta waende akamcomfort lol sina imani nae kabisa ila ntashighulikia hili suala la The Finest coz wote hawaaminiki
 
Last edited by a moderator:
Ok sawa ntafurahi sana Yummy
Utakuja home au wapi?[/QUOTE]

We huelewi kiswahili???si nimekwambia KIJIWENI!!! Nije home kwako mie Amyner???akuuuu unitue
Hahahaaaa dah huna hata huruma nilidhani utakuja aisee au unamuogoa Mr Rocky ?
Acha uoga Yummy
Mi ntakuja basi hapo Sinza Kijiweni then tutaenda pale Rombo Hotel hahahaaa panafaa sana kwa maongezi ya muda mrefu na ya uhuru
 
Last edited by a moderator:
aisee tena usimchezee kabisa..............labda nikutajie sifa ni kubota ama Ferguson machine ni mtaalam wa aerobics na gymnastics ile mbaya. huwa anakaza sura kma jakline wolper na siyo mwoga kama wema sepetu.

ila usiwe na hofu wewe huwez kunichukulia ma swtlo Kaizer huyu zake huziwez aisee ni nyuz 360 vibration imo mfyonzo unahuu kwa sana. so hakuna mwenye qualifications hizo. nilijaribu tu kumpaka Asprin dawa aliuua wk nzima kwa ma vibration na nyie wote mliokwenda kukaguliwa akiwemo cacico mlichemsha. hapa ulipita msondo bana wa kianchali. chazeya mimi kungwi wa jf.

no comment! kuna kaukweli ndani yake.

:ranger:
 
Acha wivu Remmy
Kwani we siunajijua nyumba ndogo sasa shida iko wapi?
Nambie basi walau niwe na raha
Halafu kuna mtu alimboa ndio akapotea na ikiniuma zaidi namtaja mjiju

Asipokwambia wewe, atanambia mie?
Wala sijui yuko wapi.
 
Last edited by a moderator:
PakaJimmy kanipa tayari nahofia zako kama zitakuwa za ukweli maana na wewe ki mzigo kama BAGAH kazi kuwataka shemeji zako Nicas Mtei hukawii kusema umemweka ndani kwako

umetoka wapi na hili jambo tena braza?
mbona umeanza kuwa na gubu kama la fulani?
mm na Amyner tushamalizana...
au umesahau kuwa fimbo ya mbali haiui nyoka?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom