Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.

Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.

Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.

Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.

Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.

Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi
hakuna kitu kama hicho mkuu sasa hivi ndiyo wanawatumia watu ili walime mashamba yao.
 
Turudishe kumbukumbu za viongozi waliowahi kutawala Tanzania,walipokuwa wanaingia madarakani.
*1995-2005\ ajari ya MV Bukoba ,
-Ajari ya trein na nk.Katika utawala huo maelfu ya watanzania walipoteza maisha.

*2006-2015/ Magari chungu mzima yameungua barabarani,meli iliyokuwa ikifanya safari kati ya Unguja na Pemba,
Hapa taifa lilisimama.

*2015-2020/ tumeshuhudia watoto 32+watu wazima 3 wakiwatangulia wazazi wao na mzee ameshakubali
masharti ya kiuongozi,tutarajie mapigo mengine makubwa na tutalia sana ndani ya miaka hii iliyobaki.


Stay tune.
Nikushauri jambo la kuchunguza

Ajali nyingi kubwa zimetokea wakati kuna bunge linaendelea.

Nimeshajiwekeaga bunge likikaa dodoma subiria ajali kubwa ambayo itagharimu maisha zaidi ya watu 20,

Cc mshana
 
Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.

Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.

Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.

Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.

Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.

Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi
Brother Mshana naona hapa UMEWAGUSA wale wachawi NJAA (Vidagaa) ambao kwa asilimia mia moja UCHAWI wao unatokana ama kwa KURITHI tunguli au kwa kukaa DARASANI na kufundishwa...

Kumbuka hawa ndio wale wanaokutana na KESI za kudondoka (wanasema kutunguliwa) wanapokutana na DHORUBA katika Anga.
Hawa ndio wale wanaokutwa WAMEKWAMA (wanasema kunasa) katika Milango ama juu ya PAA/BATI.
Hawa ndio wale wanao kutana na zohari na KUNASA katika Miti na KESI nyingine kadha wa kadha.

Katika UZI wako Brother Mshana umesahau uwepo wa wale WACHAWI Nguli (Mapapa) japo umetambua uwepo wa TUNGULI (Water proof)
Umeshindwa kuligusia kundi hili kwa makusudi nadhani kwa kuogopa "KAZI YAO"

Ili ni KUNDI dogo ambalo kwao UCHAWI wamejifunza na kutunukiwa vyeti kutoka FALME YA KICHAWI inayopatikana CHINI YA BAHARI katika ukanda wa PASIFIKI..

ili ni kundi ambalo kwao kuwanga hawatizami ni wapi...ni saa ngapi...ni katika Mazingira gani na mengineyo..

Ili ndilo KUNDI (Special task) lenye Majukumu ya KUWAROGA Viongozi Wakuu katika kada mbalimbali Wafalme.. Machifu.. Maraisi ..Makanisani...Misikitini...na nyumba nyingi za Ibada tunazo zifahamu..

Ili ndilo KUNDI linalo miliki sehemu kubwa ya MAGHARA yenye Vyakula...Madawa...na NYENZO mbalimbali za kichawi kwa ajili ya MISUKULE n.k....

Wapo baadhi ya WACHAWI humu ndani ya JF wanaweza kunielewa ninapo sema haya (kwa wale waliosomea GAMBOSH)

Wale WACHAWI njaa huu ndio wakati wa kwenda KUPIGA magoti kwa hao WAKUBWA wakiomba Mikopo..Misaada mbalimbali na kwa kupewa MASHARTI magumu...

Yako MENGI ila ngoja niwatunzie SIRI ndugu zetu....


Mjadala UENDELEE..
 
Nikushauri jambo la kuchunguza

Ajali nyingi kubwa zimetokea wakati kuna bunge linaendelea.

Nimeshajiwekeaga bunge likikaa dodoma subiria ajali kubwa ambayo itagharimu maisha zaidi ya watu 20,

Cc mshana
kwa hiyo mtumishi mkuu anatambika ili sisi wenye mamlaka tusimwajibishe kupitia bunge??
 
Mkuu Mshana nasikia sana huu utaalamu Wa ndele toka tanga na pia naambiwa huko kuna sehemu nguli sana achilia mbali kwa msisi hapo panaitwa Kandenkamaa kuna maufundi ya kutosha sijui wewe wasemaje hapo
 
Back
Top Bottom