Ndugu yangu zimebaki story.... Na hata kama zipo uwe makini.... Manake ni sawa na Viagra ikiisha nguvu..........Mkuu Mshana nasikia sana huu utaalamu Wa ndele toka tanga na pia naambiwa huko kuna sehemu nguli sana achilia mbali kwa msisi hapo panaitwa Kandenkamaa kuna maufundi ya kutosha sijui wewe wasemaje hapo
Inategemea na masharti na nguvu yake[/QUOTEyaani ninachomaanisha ni nini kina fanya hiyo dawa iweze kuingia mwilini kwa kuoga
yaani ninacho jaribu kuangalia hapa ni kwamfano dawa za hospitali mtu anakunywa au kuchomwa sindano ili iiingie mwilini sasa hizi za kwetu usukumani mbona mtu anaoga tuu au anachoma na kunuia je zinafikaje kwa mhusika au zinaingia vipi mwilini hili ndiyo swali langu la msingi.Inategemea sometimes less than 3days
Jr[emoji769]
mkuu, dawa za kienyeji hasa za waganga zinahusisha mambo ya kiroho ambayo hayawezi kuthibitishwa kisayansi.yaani ninacho jalibu kuangalia hapa ni kwamfano dawa za hospitali mtu anakunywa au kuchomwa sindano ili iiingie mwilini sasa hizi za kwetu usukumani mbona mtu anaoga tuu au anachoma na kunuia je zinafikaje kwa mhusika au zinaingia vipi mwilini hili ndiyo swali langu la msingi.
Ni kupitia nguvu isiyoonekanayaani ninacho jaribu kuangalia hapa ni kwamfano dawa za hospitali mtu anakunywa au kuchomwa sindano ili iiingie mwilini sasa hizi za kwetu usukumani mbona mtu anaoga tuu au anachoma na kunuia je zinafikaje kwa mhusika au zinaingia vipi mwilini hili ndiyo swali langu la msingi.
Swahiba kwema? longtime kitambo!
Mkuu mshana jr naomba utolee maelezo kidogo picha hii