Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Shukrani kwa habari mzee wa Msata......nafuu tutalala kwa amani mzee wa busara kaenda likizo. Tulishachoka kujambiwa usoni kila siku mpaka tunaamka kama tuna hangover bureee kumbe mashuzi ya vigagula


Hahaaaaa
 
mkuu japo naogopa kutekwa ila nimesikia kuna bosi kwenye hiyo shule mwanae yupo la saba cha kushangaza hakwenda kwenye hiyo safari.!!!!!!!!!! nikiconnect dot hayo matokeo naogopaogopa asee
Usi-conclude. It was just a coincidence.

Nafikiri tu.
 
mshana binafsi mi nakukubali sana.. nitakutafutra private kuna mtu ananizingua sana nataka tumtumie radi au tumtumie Mamba kabisa. Maana nimechoka sana
Alafu na yeye anakutupia mimba. Ngoma draw.
 
Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.

Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.

Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.

Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.

Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.

Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi
hahahah mshana jr kuna watu mtaani hua hawaogi na wakioga lazima utajua tu itakua nao team ile nn 😀😀😀
 
Na mungu je unamuamini au huamini? Kama unaamini umemwona wapi?
MUNGU namwamini sababu naziona kazizake najua vitu vyote ninavyo viona vipo kwasababu kuna kitu kimefanya viwepo ndio MUNGU.
Yani uhai, vyakula,mimea,wanyama, maji navitu vyingine vingi ambavyo vinaingia akilini na vipo wazi kwa kilamtu.

Sioni chochote kinacho fanywa na huo mnaoita uchawi.
 
Hakuna uhusiano japo kuna viashiria
ok noted, swali la mwisho kama hutojali;
hapa duniani kuna visa katika sehemu kama bermuda triangle, do you think kuna "stargates" au "portals" ambazo binadam anaweza pitia ili kuingia into other realms/planes of existence/worlds?
 
ok noted, swali la mwisho kama hutojali;
hapa duniani kuna visa katika sehemu kama bermuda triangle, do you think kuna "stargates" au "portals" ambazo binadam anaweza pitia ili kuingia into other realms/planes of existence/worlds?
Yeah through meditation na astral projection au third eye na nguvu nyingine za kishirikina na mazingaombwe
Ishu ya Bermuda triangle ina maelezo mengi yanayokinzana kisayansi kiroho kidunia nk
 
mtani jana nimeamka nimevuliwa nguo ila chupi ilikuwepo sasa sijui kwa nini wanivue ?
 
Back
Top Bottom