Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Shukrani kwa habari mzee wa Msata......nafuu tutalala kwa amani mzee wa busara kaenda likizo. Tulishachoka kujambiwa usoni kila siku mpaka tunaamka kama tuna hangover bureee kumbe mashuzi ya vigagula
🙂 🙂 🙂 🙂
 
Pia jiulize Kama kweli ile ni ajali ya kuondoka na roho 35[emoji779] [emoji779] [emoji779] wavivu wa kufikiri watakwambia ajali haina kinga ama ni mapenzi ya Mungu
mkuu japo naogopa kutekwa ila nimesikia kuna bosi kwenye hiyo shule mwanae yupo la saba cha kushangaza hakwenda kwenye hiyo safari.!!!!!!!!!! nikiconnect dot hayo matokeo naogopaogopa asee
 
Mmhh[emoji779] [emoji779] [emoji779] hizi habari zina ukweli kiasi gani?
 
mkuu japo naogopa kutekwa ila nimesikia kuna bosi kwenye hiyo shule mwanae yupo la saba cha kushangaza hakwenda kwenye hiyo safari.!!!!!!!!!! nikiconnect dot hayo matokeo naogopaogopa asee
Mkuu wala usihofu kama lipo hilo jambo litapasika paaaaaaah na tutafahamu,

Japo hata baada ya kufahamu hatitakuwa na jinsi ya kupata wanetu tena.
 
Shukrani kwa habari mzee wa Msata......nafuu tutalala kwa amani mzee wa busara kaenda likizo. Tulishachoka kujambiwa usoni kila siku mpaka tunaamka kama tuna hangover bureee kumbe mashuzi ya vigagula

hahahahaaaa...... aisee nimecheka saana
 
Kwahiyo lipi bora mkuu? Mvua kuendelea au kutokuendelea?
 
Mi nilijua watakua na wakati mgumu kutokana na maombi yanayoendelea kumbe mvua.
 
Wahenga walisema "Penye udhia penyeza rupia". Tumia udhaifu kujipatia mafanikio nk. Mshana Jr. alishajua udhaifu wa Watanzania unapendelea zaidi stori za uchawi,ulozi na ushirikina na si uwepo wa Mungu. Tuache mawazo potofu tumtumainie MUNGU ktk yote na yatawezekana.
True mimi nilishamuambia huyu mshana siku atakapokuja kuokoka ndio atafunguka ayo madizaini yake vizuri kila siku ataleta uzi mpya
 
mshana jr au ndio wako ktk maadhimisho ya 40 baada ya Rais wao Tz kufariki? Kwahiyo Damu kama msosi vinahitajika sana?
Turudishe kumbukumbu za viongozi waliowahi kutawala Tanzania,walipokuwa wanaingia madarakani.
*1995-2005\ ajari ya MV Bukoba ,
-Ajari ya trein na nk.Katika utawala huo maelfu ya watanzania walipoteza maisha.

*2006-2015/ Magari chungu mzima yameungua barabarani,meli iliyokuwa ikifanya safari kati ya Unguja na Pemba,
Hapa taifa lilisimama.

*2015-2020/ tumeshuhudia watoto 32+watu wazima 3 wakiwatangulia wazazi wao na mzee ameshakubali
masharti ya kiuongozi,tutarajie mapigo mengine makubwa na tutalia sana ndani ya miaka hii iliyobaki.

Stay tune.
 
Utabiri wa kichochezi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kweli aisee hata mapaka yamepungua kupiga kelele juu ya bati
 
Back
Top Bottom