Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Hata akili huwezi kuiona wala njaa nk
Ndio, akili sizioni lakini zinanifanya kuchagua mambo ya kufanya, mojawapo ni huouchawi nimechagua kutouamini, nimambo yasio eleweka.

Njaa pia siioni lakini najua nikila ugali nitashiba na kilamtu anajua hivyo,hata mnyama anajua njaa dawayake ni nini

Huo uchawi ni mambo yakufikirikatu na yasiyo eleweka.
 
utakuwa umezaliwa na kukulia mjini, ungezaliwa na ukulie vijijini ndio ungeyaona haya mauzauza
Huko vijijini asilimia kubwa ya watu hawanauelewa wa kutosha kuchambua mambo ndio mana huko wengi huaminishwa mambo ya ajabuajabu tu.

Siwadharau watu wa vijijini lakini ukweli ndio huo, kunafursa ndogosana ya watu kuelimika katika mambo mbalimbali ndio maana waathirika wa hayo mbambo yasiyo eleweka niwengi katika maeneo ya vijijini.
 
Mshana jr umefika wakati sasa tunahitaji kukujua kama una maslahi na hizi nguvu za kichawi... Kuwa muwazi tu kwani huo ndio utamaduni wetu kabla mzungu hajatuletea utamaduni wake huu tunao uishi sasa na kuona tamaduni zetu ni za kishenzi..... Mshana nakuomba uwe muwazi sio vbaya member wa jf tukakujua
 
vipi kuhusu Limbwata Bro! Hiyo mi ndio naogopa kuliko zote mkuu..
 
Mshana jr umefika wakati sasa tunahitaji kukujua kama una maslahi na hizi nguvu za kichawi... Kuwa muwazi tu kwani huo ndio utamaduni wetu kabla mzungu hajatuletea utamaduni wake huu tunao uishi sasa na kuona tamaduni zetu ni za kishenzi..... Mshana nakuomba uwe muwazi sio vbaya member wa jf tukakujua
Naitwa Mshana Jr baba wa familia ya watoto wane, sina masuria, naishi Msata kazi yangu ni mochwarist wa kukodishwa
 
Ndio, akili sizioni lakini zinanifanya kuchagua mambo ya kufanya, mojawapo ni huouchawi nimechagua kutouamini, nimambo yasio eleweka.

Njaa pia siioni lakini najua nikila ugali nitashiba na kilamtu anajua hivyo,hata mnyama anajua njaa dawayake ni nini

Huo uchawi ni mambo yakufikirikatu na yasiyo eleweka.
Mmh
1. Ni ya kufikirika.... Yaani sio halisi
2.Yasiyoeleweka....yani yapo lakini hayaeleweki/huyaelewi
Hebu niambie hapa nishike lipi
 
mshana binafsi mi nakukubali sana.. nitakutafutra private kuna mtu ananizingua sana nataka tumtumie radi au tumtumie Mamba kabisa. Maana nimechoka sana
hahahah sasa kama anaishi mjini huyo mamba anatokea wapi aiseeee samehe 7X70
 
hahahahahahahah venezuela wajinga walikuwa wanafrastraight control tower zinashindwa kujuwa ngege ni ipi na sangoma ni yupi hahahhahahahah kumbe mvua tu ni kiboko yao
 
Mshana umenifanya nisitishe kusafiri kwa mabasi,
vipi kuhusu ndege? au nako nimeingia chakike?
 
Back
Top Bottom