Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,937
- 870,936
- Thread starter
- #341
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wacha muende likizo tu
😁🤣
No white wizardHakika wewe ni mchawi verified [emoji1544][emoji1544]
White wizard, no??
Tunguli ikilowa inatia huruma sana mpaka unaweza ukalia[emoji16][emoji1787]
Nilishaacha na kuokoka rafiki hapa nakumbushia kumbushia tuu ila ujue shetani ana nguvu sana ukitetereka kidogo tuu kiimani anaondoka nawewePicha umeitoa mtandaono au?
S uliyaacha hayo huwa siamini uliyafanya Bali unayafahamu kwa undani tu.. ila Rudi utupe masomo zaidi ya sisi kujifunza Kaka.
Wanahali mbaya sanaaTunguli ikilowa inatia huruma sana mpaka unaweza ukaliaView attachment 2800983
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo ni comedy lakini imeonesha kwenye mvua wachawi wanaipataTunguli ikilowa inatia huruma sana mpaka unaweza ukaliaView attachment 2800983
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha[emoji23]Au ndio maana simba wanatimiaga mvua kiwanyoosha vugagula wa jangwani ?
Ha ha ha ha kanasaJapo ni comedy lakini imeonesha kwenye mvua wachawi wanaipata
Lakini hawafanyii majiniLakini mbona maeneo yalozungukwa na maji ndo yanasifika kwa uchawi? Mf. Ukerewe, Kigoma, Bagamoyo(Indian ocean)
Kumbe hapo sawa.