Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.

Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.

Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.

Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.

Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.

Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi

Wewe unafanyaje wakati kamaa huu?
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwahiyo sahivi watu hawaamki wakiwa wamechoka tena basi zinyeshe mpaka december hakuna namna
 
Ha ha ha imani yako hii itakuangamiza mpare wewe wa ugweno
 
Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.

Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.

Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.

Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.

Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.

Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi

Umenena mkuu:Mimi siyo mchawi ila
Siku hizi siwezi hata kupaa kwenda other planets PAMOJA nakwamba Nina vifaa vya kisasa sababu ya hali ya hewa.Mkuu Ulishawahi kuona zile saucers wanazotumia aliens angani?
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] hapa sio pakuka kabisa
 
Back
Top Bottom