bunyebunye
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 530
- 677
Aisee! Hizo ni njemba zilizoshibaMauaji ya kafara kwa ajili ya kutengeneza zindiko la utajiri, umaarufu au cheo
Aisee! Hizo ni njemba zilizoshibaMauaji ya kafara kwa ajili ya kutengeneza zindiko la utajiri, umaarufu au cheo
Sawa mkuuIla ni michoro sio picha halisi
Naam bukheir wa afya njema mipishano tu imekuwa mingi sijui huko kwako?Nimefurahi kukuona tena natumai ulikuwa salama bukheri wa afya
Tunguli na maji ni sawa na umeme na maji havipatani kabisa japo vyote asili yake ni hayo majiDuuh, we mjamaa hizi article zako huwa zinanipa tafakuri kali sana, umesomea wapi haya mambo, kwa sababu huwa unatoa thread ambazo ukizifayia utafiti unakuta zina ukweli mpana ndani yake
Hivi vitu vinahitaji ithibati zisizoacha shaka kwakuwa kuna watu wana uwezo wa kutabiri yajayo hivyo baada ya hapo husindikiza na maombiMshana,hivi mtu akiwa muombaji wa dua sana na akifululiza mno mvua inanyesha,ni mtu wa aina ganihuyo?
Hivi hawawezi kupanda zaidi wakapita juu ya mawingu?Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.
Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.
Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.
Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.
Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.
Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi
Hivi hawawezi kupanda zaidi wakapita juu ya mawingu?
View attachment 1239759