Amini usiamini wachawi wana kipindi kigumu sana

Mshana jr asante kwa kuongelea fan yako kwa kujidai kwani una uhakika isemacho
mshana jt
 
Unaweza ukadhani nazungumzia ukata wa kipindi hiki au pengine kupungua kwa wateja la hasha! Kuna sababu nyingine tofauti kabisa na hizi.

Mchawi na mitunguli yake yote na nguvu zake zote kiboko yake maji, yani hakuna tofauti na kitu cha umeme kisivyopatana na maji.

Tunguli na maji ni vitu viwili tofauti kabisa ndio maana hata siku moja ni ngumu sana kukuta tunguli zimefukiwa mtoni.

Kumbukeni ile mada ya uchawi hauvuki bahari kwahiyo kipindi hiki cha mvua ni kipindi kigumu kwa hawa ndugu zetu hasa kama tunguli zao sio zile water proof.

Kinachofanyika kwa sasa ni kufanya tu makafara ya damu lakini kule kulogwa ama kuchawiwa na kuwangiwa usiku graph imeshuka sana na anga limetulia mno.

Hizi mvua zikiendelea hivi hivi tutarajie mengi
Aaa!Makafara ya damu!Ajali ya Arusha?!
 
boss mbna wakuu wao tunaambiwa wapo katkat ya bahari au ziwa.
 
mshana binafsi mi nakukubali sana.. nitakutafutra private kuna mtu ananizingua sana nataka tumtumie radi au tumtumie Mamba kabisa. Maana nimechoka sana
 
Imani za uchawini imani za kijinga zinazoota mizizi sanakatika jamii zenye elimu ndogo.

Ndiyo maana katika jamii zenye elimukubwa uchawi umebakia kuwa ni hadithi tu.
Hivi Masonic wanahusiana na uchawi?
 
mshana binafsi mi nakukubali sana.. nitakutafutra private kuna mtu ananizingua sana nataka tumtumie radi au tumtumie Mamba kabisa. Maana nimechoka sana
msamehe
 
Shukrani kwa habari mzee wa Msata......nafuu tutalala kwa amani mzee wa busara kaenda likizo. Tulishachoka kujambiwa usoni kila siku mpaka tunaamka kama tuna hangover bureee kumbe mashuzi ya vigagula
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom