50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,139
- 4,119
Mwamba umetisha...kwamba sub dakika za majeruhi halafu unawainua mashabiki kwenye viti...😅Uneza ukashangaa unaingia sub na ukafanya maajab na kubaki na furaha
Mwamba umetisha...kwamba sub dakika za majeruhi halafu unawainua mashabiki kwenye viti...😅Uneza ukashangaa unaingia sub na ukafanya maajab na kubaki na furaha
Haiyumkoni second best ni sawa na kusema Best loser 😅Hongera kwa kua the second best.
Haliendi huyo, ila mle kwanza ujipoze machungu. Ilinitokea hiyo, nikawa nae kwa muda, baadae akaja akapata mimba tena ya mtu yule wa mwanzo. Wanawake wasenge* sanaHabar za asubuhi wana J/Forums.
Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.
Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.
Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.
Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.
Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.
Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.
Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.
Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Pole sana MkuuHaliendi huyo, ila mle kwanza ujipoze machungu. Ilinitokea hiyo, nikawa nae kwa muda, baadae akaja akapata mimba tena ya mtu yule wa mwanzo. Wanawake wasenge* sana
Ukweli ni kwamba hajawahi kukupenda ila wakati ni ukuta na. Ame run out of options kwa sasa wewe ndio ambaye ni boya wake unaweza msitiri!Habar za asubuhi wana J/Forums.
Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.
Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.
Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.
Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.
Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.
Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.
Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.
Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Hahahahah Ndezi anakabidhiwa mzigo wa kulea bao ambalo sio lake 😅😅😅Kwasababu Kakuona wewe ndio ndezi wake
Ulimnyoosha sana huyo kibwengo 😂😂😂 kazi nzuri! Hawa cuma wanahisi wakiwaga wabichi sie hatustahili kuwamiliki mpaka wakishatiwa dosari ndio wanajileta kinafiki kmniner zaoHamna mwanamke hapo, wewe muweke karibu kisha chakata hiyo mbunye ikikuchosha piga chini.
Mi kuna boya mmoja mmoja miaka hiyo yaan aliniacha tu from no where et hanitaki, alafu hata sikugonga sababu alikuwa anajifanya mlokole, baada ya miaka kupita akaja kuzalishwa kisha akapigwa chini. Baada ya hapo akaanza kujileta kwangu eti ananipenda [emoji23][emoji23]..
Yaan akajitia hamnazo kabisa na kujisahaulisha kilichotokea, na kipindi hicho sikuwaga na demu wa kueleweka basi nikaanza kujipimia mzigo kwa kadri yangu..
Baada ya miezi kadhaa akaanza kuniona na mwanamke mwingine akashindwa hata la kufanya.
Hahahahahahah unamuandalia kaburi sio? 😅😅😅Muoe mwanangu uyo kashajifunza kashayajua maisha halisi
Afu jitahidi kumpendezesha adi uyo jamaa ajute kwanini alimuacha
Pambania hisia zako fata kile moyo wako unataka
Achana na wanaosema sijui atakutesa sijui nini we fuata moyo wako kile unapenda
Kama kujifunza ukajifunze mwenyewe ndani ya ndoa sio waanze kukuletea ushuhuda wao wa uongo hapa
Kama mnapendana muoe kweli mapenzi hayana formula
I'm
acha ujinga kijana hà po hupendwi na USIJARIBU, narudia USIJARIBU.
Demu akishaharibu huko ndo anajifanya decent . ...dawa yao ni kujipimia tuu ukitosheka unapiga chiniUlimnyoosha sana huyo kibwengo [emoji23][emoji23][emoji23] kazi nzuri! Hawa cuma wanahisi wakiwaga wabichi sie hatustahili kuwamiliki mpaka wakishatiwa dosari ndio wanajileta kinafiki kmniner zao
Very very true mkuuUkweli ni kwamba hajawahi kukupenda ila wakati ni ukuta na. Ame run out of options kwa sasa wewe ndio ambaye ni boya wake unaweza msitiri!
Hahahhaha kmmmk walai 😅😅😅 kakupa likiwa lamoto kabisaKuna jamaa alikuwa na scenario kama hii.Akaja akaoa kimyakimya yule demu aliezaa na mwingine. Kuna siku nikampigia nikamuuliza vipi yule ex wako yuko wapi siku hizi?
Ghafla yule demu akalopoka background huko "we m**** koma kufatilia maisha ya watu."Nikakata simu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji15]
Eeh hivyo viwanja vya mazoezi tuDemu akishaharibu huko ndo anajifanya decent . ...dawa yao ni kujipimia tuu ukitosheka unapiga chini
Hhahahhahahahahah eeh mkuu 😅😅😅 kupitia facebook na twiraaHahahaha mnapendana kupitia simu?
Hongera mkuu,
GahahhahaOa tu, Mimi kwa mfano nilishawahi date na demu ana watoto wawili na kila mtoto na baba yake ila alikuwa na tako kuuuuuubwaaa ndio kitu nilichokitaka
Mipira iliokufa 😅😅😅
Handicap hio mze baba. Hujakosea kabisa ni handicap +1 mnaanza mchezo na goli 1 mkononi 😅😅😅MKUU JARIB KUULIZA KWA WALE WATAALAM WA KUBETI SIJUI NDO NGUMU KUMEZA IYO AU SIJUI NDO HANDCAP YAAAN UNA BETI TAYALI UMEFUNGWA GOLI MOJA MIMI SIWEZI KWAKWEL WAULIZE WALE JMAAA WATAKUJIB VIZUR
Huyu jamaa ni Ndezi Pro MaxLakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Acha kumlisha mwenzio matango pori. Kilichochezewa ni moyo tu mbona vingine hutaji?Hiyo ndio true love sasa. Yaani amezunguka huko weeeeh, wameuchezea moyo wake ila akagundua weww ndio tabibu wake. Ulete taarifa hapa tuchangie harusi sie.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Bora umempa ukweli tu maana sie wengine sijui kama anatuelewa?Kwa treatment alokupa,dharau alokuonesha alipokuwa na mtu mwengine sikushauri kuwa nae ni kwa maslahi yako na yake.Inavyoonekana amekukubali sasa kwasababu hana choice maji yameshamwagika na pili yule mwanaume alokudharau mwanzo ndo amemzalisha imagine itakuwaje inapokuja kwa mtoto?Je unaweza kumpenda kama mwanao?mawasiliano ya mtoto na babaake mzazi?Huyo mwanamke atakuchukuliaje wewe kama mwanaume?Wakati mwengine hata kama unakitaka kitu kiasi gani fikiria na jinsi unavyojishusha na athari itakayokuletea baadae.Kwa huyo mwanamke you were not man enough.
Jiepushe na huyo mwanamke tafuta mtu mwengine!