Cha kwanza kabla ya yote acha kubeti ndio akili zitakukaa sawa.
View attachment 1718364
Unforgetable
Kwa sasa jibu sahihi hakuna lkn subiri akuweke kwenye chupa ndiyo utakuwa na mamuzi binafsi endele kutulia kwanza kilogo kikuingie vizuri maana kinga ya mizimu ya kwenu bado kuisha mda wakeHabar za asubuhi wana J/Forums.
Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.
Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.
Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.
Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.
Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.
Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.
Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.
Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Huyo mwanamke unampenda mno hata alipokuambia ukweli kwamba Hakupendi bado ulimfatilia na hatimaye uko nae hakuna ushauri utapewa ukauelewa kifupi umependa usipopendwa muhimu bibie atulie nawe .Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.
Oa tu, Mimi kwa mfano nilishawahi date na demu ana watoto wawili na kila mtoto na baba yake ila alikuwa na tako kuuuuuubwaaa ndio kitu nilichokitakaKwakweli uneza ukaniona ni waajab lakin moyo wangu ndio umekufa kabisa
Hahahahahaha kwamba chaguo Bora la piliHongera kwa kua the second best.
Bila shaka ww utakuwa ni msukuma!!Wanaume tukipenda tunakuwa wasengeremaaa mpk nuktaHabar za asubuhi wana J/Forums.
Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.
Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.
Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.
Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.
Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.
Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.
Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.
Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Mkuu ulimuoa au uli date nae tuuOa tu, Mimi kwa mfano nilishawahi date na demu ana watoto wawili na kila mtoto na baba yake ila alikuwa na tako kuuuuuubwaaa ndio kitu nilichokitaka
Nilitaka kuoa kabisa ila upinzani uliotoka kwa mama yangu mzazi ulikuwa ni mkubwa mno. Yaani mama alikataa katakata story ni ndefu kidogoMkuu ulimuoa au uli date nae tuu
Alidhalishwa au alidhalilishwa?Habar za asubuhi wana J/Forums.