Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Kwakweli uneza ukaniona ni waajab lakin moyo wangu ndio umekufa kabisa
Endelea kuusikiliza moyo kama ushawai kuona moyo una akili sawa

Bado hujawajua wanawake mpaka aje akuambie "kwani na wewe ni mwanaume? Una uwezo wa kumpa mtu mimba wewe? Niachie mwanangu"

Apo mkigombana tu kidogo anaanza kumpigia cm baba wa mtoto
 
Sasa hapo hapo nitakuwa siutendei haki moyo wangu,maana imefika hatua sina hisia na wanawake wengine kabisaa na ninamuwaza yeye tu
Muoe mwanangu uyo kashajifunza kashayajua maisha halisi
Afu jitahidi kumpendezesha adi uyo jamaa ajute kwanini alimuacha
Pambania hisia zako fata kile moyo wako unataka
Achana na wanaosema sijui atakutesa sijui nini we fuata moyo wako kile unapenda

Kama kujifunza ukajifunze mwenyewe ndani ya ndoa sio waanze kukuletea ushuhuda wao wa uongo hapa

Kama mnapendana muoe kweli mapenzi hayana formula
 
Huu ni ukatiri. Kuzaa sio adhabu kwamba mwanamke akikukosea unampa mimba. Akili kama hizi haziwezi lea familia maana unaona mkeo ana adhabu zako tatu (watoto watatu) mnaishi nazo atapambana nazo mwenyewe.
Huyo anapata anacho stahili kama yeye aliweza kumpa basha wake simu anayo pigiwa na mshakaji huo haukiwa ukatili wa kisaikolojia? Na kama yeye sio katili kwanini anatafuta upendo baada ya kuzalishwa ? Huyo hiyo ndio dawa yake tena huyo zalisha hata mara 4 halafu piga chini hana akili
 
Kwa huu ushauri ndiyo mtampoteza kabisa huyu kamanda kwa huyo mwanamke. Kiufupi tu ni kwamba, anampenda sana huyo mwanamke! Na yuko tayari hata kulea huyo mtoto aliyetelekezwa na mwanaume mwingine.

Jambo la kuombea hapa ni kwa huyo binti kujirudi na hivyo kuthamini, kumpenda na kumpa jamaa heshima anayo stahili. Kinyume na hapo, jamaa atateswa sana na mahusiano ya aina hii.
Naunga mkono hoja, huyu ashauriwe arudiane na mwenzake maana anampenda lakini aanze kuwa mwanaume sasa na atawale mapenzi yao.
 
Muoe mwanangu uyo kashajifunza kashayajua maisha halisi
Afu jitahidi kumpendezesha adi uyo jamaa ajute kwanini alimuacha
Pambania hisia zako fata kile moyo wako unataka
Achana na wanaosema sijui atakutesa sijui nini we fuata moyo wako kile unapenda

Kama kujifunza ukajifunze mwenyewe ndani ya ndoa sio waanze kukuletea ushuhuda wao wa uongo hapa

Kama mnapendana muoe kweli mapenzi hayana formula
Hahaaaaaaaaa ampendezeshe ili jamaa aliye mpenda mwanzo amtamani amkwangue vizuri eti?

Tunanuzoefu na wanawake wa aina hii bana usimdanganye mwenzako halafu badae arudi tena huku kuomba ushauri kwa kichwa cha habari kinacho sema
"NIMEGUNDUA MKE WANGU AMERUDIANA NA JAMAA ALIYE ZAA NAYE NIFANYEJE ??

hahahaaaaaa , wanawake tunawajua vizuri sana kama tangu mwanzo alimuona hana hadhi ya kuwa naye ndio maana akawa anamchonganisha na huyo aliye mzalisha ,hiyo hadhi leo imetoka wapi?

Au baada ya yeye kushuka hadhi ndio kaona jamaa atamfaa sasa? Huyo hana mapenzi na wewe kifupi ni hivyo kinacho mfanya akupende sasa ni ulezi wa mtoto na kujishikiza kwako kwa mda we jichanganye utakuja jikumbuka aisee.
 
Hahaaaaaaaaa ampendezeshe ili jamaa aliye mpenda mwanzo amtamani amkwangue vizuri eti?

Tunanuzoefu na wanawake wa aina hii bana usimdanganye mwenzako halafu badae arudi tena huku kuomba ushauri kwa kichwa cha habari kinacho sema
"NIMEGUNDUA MKE WANGU AMERUDIANA NA JAMAA ALIYE ZAA NAYE NIFANYEJE ??

hahahaaaaaa , wanawake tunawajua vizuri sana kama tangu mwanzo alimuona hana hadhi ya kuwa naye ndio maana akawa anamchonganisha na huyo aliye mzalisha ,hiyo hadhi leo imetoka wapi?

Au baada ya yeye kushuka hadhi ndio kaona jamaa atamfaa sasa? Huyo hana mapenzi na wewe kifupi ni hivyo kinacho mfanya akuoende sasa ni ulezi wa mtoto na kujishikiza kwako kwa mda we jichanganye utakuja jikumbuka aisee.
Bruh acha kumzibia mwenzio riziki

Lovemewise ule ushuhuda wa uongo nilokua nakwambia ndo huu
Watu kama hawa wa kupuuzwa
 
Shukran sana mkuu kwa ushauri mzuru🙏🙏.

Kuhusu kumuoa kabisa ndilo wazo nilokuwa nikiwaza na ndiyo maana nimewasilisha huku ili nione ni wangap watakuja na wazo Kama hili.
🙏🙏
Hahahaaaa we jamaa fala kumbe kuna aina ya ushauri uliyo kuwa unaitaka sio? Wewe sio wa kushauriwa kumbe tayari ulisha jishauri mwenyewe na ukawa na majibu tayari unatu enjoy ee!
 
Kuna Dem alikuwa anakataa sana ila tu baada ya kuzaa akawa ananitafuta sana . Siku moja nikamwita gheto nimkamla nikapita hivi adi leo hajawai kunicheki tena.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Shukran sana mkuu kwa ushauri mzuru🙏🙏.

Kuhusu kumuoa kabisa ndilo wazo nilokuwa nikiwaza na ndiyo maana nimewasilisha huku ili nione ni wangap watakuja na wazo Kama hili.
🙏🙏
Pamoja mkuu me niko tayari hata kukuchangia maisha yenyewe mafupi haya kwanini uishi kwa kinyongo

Haijalishi mangapi kakufanyia anakupenda au hakupendi ila as long wewe unampenda upendo wako unatosha kabisa kuongoza ndoa yenu muhimu akuheshimu kama mume tu
 
Habar za asubuhi wana J/forum.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakn mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakn huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana alaf mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakn hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Kaka ndo unaangushiwa jumba bovu hivo,ohoooo!
Sanuka.
 
Maisha yamesha mchapa, kwaiyo anatafuta unafuu wa maisha, ukisikia popote kuna single maza mkuu kimbia kabisaaa, sio sehemu salama ata punje
Anatafuta nafuu ya maisha wakati wewe ndiye umemtafuta! Fala hapo na anayetafuta kitonga ni wewe.
 
Habar za asubuhi wana J/forum.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakn mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakn huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana alaf mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakn hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Aione Jokajeusi kwenye faili.
 
.... achana na hiyo takataka; wadada wazuri, wanaojiheshimu na wenye misimamo wako wengi. Hadi alikuwa anampa jamaa yake simu kukutisha unapompigia bado unamfuatilia? Hivi kwa hatua hiyo, hata asingekuwa amezaa, bado unakuja humu "kuomba ushauri"? Wewe ni wa ajabu!
Kabisa Mkuu, jamaa ni wa ajabu sana, hajiongezi.
 
Shukran sana mkuu kwa ushauri mzuru🙏🙏.

Kuhusu kumuoa kabisa ndilo wazo nilokuwa nikiwaza na ndiyo maana nimewasilisha huku ili nione ni wangap watakuja na wazo Kama hili.
🙏🙏
Ila na wewe sasa upunguze usoft soft. Wanawake hawataki sana mwanaume wa kulilia lilia tu mapenzi. Eti unamuonesha kumpeenda kupitiliza! Kuliko hata wazazi wako!! ATAKUUA!!

Ongeza ubabe kidogo kwenye mahusiano yenu. Na uwe pia na msimamo. Wakati fulani uwe pia na uso wa mbuzi! Usipo badilika, utaishia tu kuwa mume bwege ndani ya nyumba.
 
Mapenzi sio muhimu sana kama heshima
Hahahaaaa we jamaa wewe mapenzi sio muhimu!!!? Wewe unampotosha mwenzio mapenzi ndio kila kitu bwashee hata ndoa haiwezi kuwa na heshima kama haina mapenzi usidanganye ili kumtetea mwanamke mwenzio, mapenzi kwanza heshima huja baada ya mapenzi

na kibaya ambacho nakiona hapo ni kwamba huyo jamaa Lovemewise kapenda kupita kiasi hivyo anaendeshwa na mihemko ya mapenzi sio utashi wa mapenzi

Na ndio maana pamoja na kwamba binti alipewa mimba na huyo jamaa akaachwa lakini bado hakuona haja ya kumtafuta huyo Lovemewise lakini jamaa yeye ndiye aliye anza kumtafuta ndipo bint alipo ona kumbe bado kuna mahali pakushika na ndio maana kashika

Mimi ni msema kweli na msema kweli ni mpenzi wa mungu huyo binti hana mapenzi ya kweli na Lovemewise isipo kuwa Lovemewise ndio anaye mpenda sana huyo binti na hiyo hutokea na huwa ni kawaida ila asubiri majibu.
 
Back
Top Bottom