Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Habar za asubuhi wana J/Forums.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Hakuna kitu hapo, anataka umsaidie kumtunzia mtoto wake yaani hapa sawa na uingie sub uwanjani dakika ya 85 huku tayari mkiwa mmeshafungwa tatu bila..
 
Hicho kisa chako mbna Cha wengi ata mm niliwai kuwa na demu wa namna hyo kaninyima mzigo bas akagagawa chuo kwa wengi katandikwa mimba karejea nyumbani na mtoto kijna kala Kona alinitafuta mwenyewe bila hiyana nikaenda kumchakata na mbay Zaid anajilaumu kwann asingetulia nimuoe mm ...na mm kuoa single mama cwezi .
 
Hongera mkuu kwa kumpiga virungu na kumuongezea maumivu mtoto wa watu
Hicho kisa chako mbna Cha wengi ata mm niliwai kuwa na demu wa namna hyo kaninyima mzigo bas akagagawa chuo kwa wengi katandikwa mimba karejea nyumbani na mtoto kijna kala Kona alinitafuta mwenyewe bila hiyana nikaenda kumchakata na mbay Zaid anajilaumu kwann asingetulia nimuoe mm ...na mm kuoa single mama cwezi .
 
Hicho kisa chako mbna Cha wengi ata mm niliwai kuwa na demu wa namna hyo kaninyima mzigo bas akagagawa chuo kwa wengi katandikwa mimba karejea nyumbani na mtoto kijna kala Kona alinitafuta mwenyewe bila hiyana nikaenda kumchakata na mbay Zaid anajilaumu kwann asingetulia nimuoe mm ...na mm kuoa single mama cwezi .
Alafu hawa viumbe huwa hawafuti namba, yaani wanatunza sana namba za maex wao tofauti na sisi wanaume
 
Kwa treatment alokupa,dharau alokuonesha alipokuwa na mtu mwengine sikushauri kuwa nae ni kwa maslahi yako na yake.Inavyoonekana amekukubali sasa kwasababu hana choice maji yameshamwagika na pili yule mwanaume alokudharau mwanzo ndo amemzalisha imagine itakuwaje inapokuja kwa mtoto?Je unaweza kumpenda kama mwanao?mawasiliano ya mtoto na babaake mzazi?Huyo mwanamke atakuchukuliaje wewe kama mwanaume?Wakati mwengine hata kama unakitaka kitu kiasi gani fikiria na jinsi unavyojishusha na athari itakayokuletea baadae.Kwa huyo mwanamke you were not man enough.
Jiepushe na huyo mwanamke tafuta mtu mwengine!
 
𝗠𝗭𝗘𝗘 𝗛𝗔𝗣𝗢 𝗛𝗨𝗣𝗘𝗡𝗗𝗪𝗜, 𝗦𝗜𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗞𝗔𝗕𝗜𝗦𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗡𝗔 𝗛𝗨𝗬𝗢 𝗠𝗔𝗡𝗭𝗜, 𝗡𝗔𝗥𝗨𝗗𝗜𝗔 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗨𝗦𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗘 𝗛𝗜𝗟𝗢 𝗞𝗢𝗦𝗔
 
Ahsante kwa ushauri wako
 
🤝🤝

Back
Top Bottom