Sasa ushauri unaomba wa nini, wewe endelea na kazi.Kwakweli uneza ukaniona ni waajab lakin moyo wangu ndio umekufa kabisa
... ushauri ndio huo mwenye kuamua ni wewe. All the best.Kwakweli uneza ukaniona ni waajab lakin moyo wangu ndio umekufa kabisa
🤣🤣🤣Kwasababu Kakuona wewe ndio ndezi wake
Nimependa sana kwa namna ulivyo muwazi. Jambo la muhimu hapo ni kujiridhisha iwapo huyo mwanamke amelitambua kosa lake. Wapo walio beba majukumu kama unayo taka kuyabeba na wakaja kuishi maisha mazuri kabisa baadae.Lakin bado nampenda kupita kiasi mkuu
Aliokwambia anataka kulea familia ni nani?Huu ni ukatiri. Kuzaa sio adhabu kwamba mwanamke akikukosea unampa mimba. Akili kama hizi haziwezi lea familia maana unaona mkeo ana adhabu zako tatu (watoto watatu) mnaishi nazo atapambana nazo mwenyewe.
Ha ha ha; the best loser! Umetisha kaka.naam kama ingekua group stage qualifying,ungekua kama BEST LOSER, hongera mkuu😂😂
Sasa unataka ushauri gani kwa mfano labda...?? Si bora ungefanya maamuzi mwenyewe huko... Ambayo tayari unayo kwa mkichwa wako...Sasa hapo hapo nitakuwa siutendei haki moyo wangu,maana imefika hatua sina hisia na wanawake wengine kabisaa na ninamuwaza yeye tu
Mkuu sio kwamba apite apige muhuri wake kisha apite vile.....
Anakupenda kweli kabisa mkuu.Habar za asubuhi wana J/forum.
Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.
Lakn mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.
Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.
Lakn huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.
Sasa ikafika kipindi wakazalishana alaf mshikaji akala kona.
Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.
Lakn hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.
Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Oa sasa unasubir nn mzee babaLakin bado nampenda kupita kiasi mkuu
.... Demu uliyempenda sana akakumwaga akaenda kuzaa na mwingine aliyekuwa anakutisha kwenye simu leo karudi kwako halafu uwe na guts za kuchakata? Binadamu hatuko hivyo; tuna utashi mzee baba.Hamna mwanamke hapo, wewe muweke karibu kisha chakata hiyo mbunye ikikuchosha piga chini.
Mi kuna boya mmoja mmoja miaka hiyo yaan aliniacha tu from no where et hanitaki, alafu hata sikugonga sababu alikuwa anajifanya mlokole, baada ya miaka kupita akaja kuzalishwa kisha akapigwa chini. Baada ya hapo akaanza kujileta kwangu eti ananipenda [emoji23][emoji23]..
Yaan akajitia hamnazo kabisa na kujisahaulisha kilichotokea, na kipindi hicho sikuwaga na demu wa kueleweka basi nikaanza kujipimia mzigo kwa kadri yangu..
Baada ya miezi kadhaa akaanza kuniona na mwanamke mwingine akashindwa hata la kufanya.
Na huwa wakijirudi wanatuona maboya sana wakikaa kupiga umbea na wenzaoHamna mwanamke hapo, wewe muweke karibu kisha chakata hiyo mbunye ikikuchosha piga chini.
Mi kuna boya mmoja mmoja miaka hiyo yaan aliniacha tu from no where et hanitaki, alafu hata sikugonga sababu alikuwa anajifanya mlokole, baada ya miaka kupita akaja kuzalishwa kisha akapigwa chini. Baada ya hapo akaanza kujileta kwangu eti ananipenda [emoji23][emoji23]..
Yaan akajitia hamnazo kabisa na kujisahaulisha kilichotokea, na kipindi hicho sikuwaga na demu wa kueleweka basi nikaanza kujipimia mzigo kwa kadri yangu..
Baada ya miezi kadhaa akaanza kuniona na mwanamke mwingine akashindwa hata la kufanya.
Ohoooo!!!maisha yamesha mchapa, kwaiyo anatafuta unafuu wa maisha, ukisikia popote kuna single maza mkuu kimbia kabisaaa, sio sehemu salama ata punje