Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Habar za asubuhi wana J/Forums.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Matatizo ya kujiua huwa yanaanza polepole,dogo tafuta demu saizi yako huyo ni chama la wana
 
Wewe utakuwa Baba mlezi wa mtoto, Baba mzazi amepotea.

Utabarikiwa kwa hilo
 
Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.
 
Muoe mwanangu uyo kashajifunza kashayajua maisha halisi
Afu jitahidi kumpendezesha adi uyo jamaa ajute kwanini alimuacha
Pambania hisia zako fata kile moyo wako unataka
Achana na wanaosema sijui atakutesa sijui nini we fuata moyo wako kile unapenda

Kama kujifunza ukajifunze mwenyewe ndani ya ndoa sio waanze kukuletea ushuhuda wao wa uongo hapa

Kama mnapendana muoe kweli mapenzi hayana formula
Mwanamke huwa hajifunzi mkuuu… yani hata ukimuokota jalalani leo kesho atakapokukataa huta amini hapa jamaa ale mambo asepee
 
hamna kitu hao viumbee fazaa unaweza jitoa nusu kufa lakini kuna fala anajiliaa kiboyaa tuuu… Ukimuonea huruma mwanamke na kutumia moyo badala ya ubongo ndio mwanzo wa majuto yako.
nakumbuka nilikuwa na Dem nilimpenda kupita maelezo kumbe ananichora tu.

Alikuwa analiwa na kaka wa rafiki yake Tena😂😂

Baada ya kupata tetesi nikaamua kumfatilia, nakumbuka hiyo siku ilikuwa mida ya night night ivi, nilikuwa nahisi Kichwa kinaniuma balaa mara akaja rafiki yangu na kunitonya kuwa Dem amepelekwa geto kwa msela na nikaamua kumfatilia ile nakaribia tu dem nae nakutana nae nikamuuliza anakotoka alaf nae akaniuliza niendako😂😂

Sikumfanya chochote na Wala sikutaka maelezo mengi ukawa ndo mwisho wetu.

Na huwa ananitafuta sana na kuniomba msamaha lakin Sina time nae
 
Hamna mwanamke hapo, wewe muweke karibu kisha chakata hiyo mbunye ikikuchosha piga chini.

Mi kuna boya mmoja mmoja miaka hiyo yaan aliniacha tu from no where et hanitaki, alafu hata sikugonga sababu alikuwa anajifanya mlokole, baada ya miaka kupita akaja kuzalishwa kisha akapigwa chini. Baada ya hapo akaanza kujileta kwangu eti ananipenda [emoji23][emoji23]..
Yaan akajitia hamnazo kabisa na kujisahaulisha kilichotokea, na kipindi hicho sikuwaga na demu wa kueleweka basi nikaanza kujipimia mzigo kwa kadri yangu..
Baada ya miezi kadhaa akaanza kuniona na mwanamke mwingine akashindwa hata la kufanya.
Good!
 
Back
Top Bottom