Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Ili mapenzi yadumu basi lazima mmoja awe chini na siyo wote muwe juu
Ukweli ni kwamba hajawahi kukupenda ila wakati ni ukuta na. Ame run out of options kwa sasa wewe ndio ambaye ni boya wake unaweza msitiri!
 
Achana nae, from experience kutoka kwa kaka yako! Achana nae, tafuta mtu mbichi kwa ajili yako. Tena kumkomoa huyo wala usimgonge, mwambie muendelee kuwa marafiki.
sawa Kaka nashukuru kwa ushauri wako🙏
 
Huyu jamaa wakifanikiwa kuishi katika ndoa kwa muda wa miaka Zaid ya miwili pasipo purukushani za hapa na pale basi wataishi sana katika ndoa yao
 
Huyu jamaa wakifanikiwa kuishi katika ndoa kwa muda wa miaka Zaid ya miwili pasipo purukushani za hapa na pale basi wataishi sana katika ndoa yao
Inaelekea huyu ndiye atakae kuwa muosha vyombo wa familia.
 
Alaf wasije wakabweteka wakadhani watatetewa, Mimi namtetea huyu tu mmoja tu lakin asije akarudia huu upuuzi maana uku natukanwa na akina Sky Eclat 😜
Hivi wanawake wa humu jukwaani mnajisikiaje kwa comment kama hizo zinazotolewa?
 
Uyo baba mtoto akikutananaye lazima amle kimasihara tu hakuna namna[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habar za asubuhi wana J/Forums.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
We ni zoba
 
Back
Top Bottom