tehe tehe tehe teheeeeeeKwasababu Kakuona wewe ndio ndezi wake
And what will happen when the first choice returns?if the best is not available we can change which is available to be the best one
But love is a feeling and not a business.When you want to start a business don't look for (-ve) impact
🙏🏾 What can I say when you have willingly accepted to be the rug which clears the mess left behind.😂😂
Okay, I beg you to bless our relationship please 🙏
I think God will bless you more, more and more
Huu ni ujinga kabisa ,kuuziwa goli la mwenzako, kiufupi upendwi....mbona Kama upo mbio sana mkuu
Masponsor nlijua wanatafutwa kumbe wanajileta dahHabar za asubuhi wana J/Forums.
Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.
Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.
Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.
Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.
Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.
Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.
Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.
Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Rug - ni lile tambara la kufutia miguu mlangoni, sky eclat kakuchana hapo,na ww unasema that's wise, unayumba bwana sadalathat's wise.
Let start a new chapter with blessed relationship
kwakweli Mungu ni mwema ndugu[emoji120][emoji120], nipo nae mwezi wa tatu sasa na tunakamilisha taratib za kufunga pingu za maisha
Hivi mkuu, hujaona wanawake wengine single huko kwenu kijijini ama hapo unapoishi hivi sasa? Usije kujiingiza kwenye matatizo, wanawake waliozaa na vibaka wanakuwa na hasira sana za kutendwa. Yeye alizaa na yule kijana kwa sababu alimpenda, kwa sasa anakukubali wewe kwa sababu hana jinsi tena kwani anahitaji mtu wa kumpa majukumu ya kumtunza mwanaye aliyezaa na kibaka. Kuna uwezekano mkubwa tu wa huyu mtoto kuwa na tabia kama za baba yake, wewe unakwenda maishani mwake kama baba wa kambo, na akilijuwa hilo lazima atakudharau tu. Jiandae kisaikolojia.Habar za asubuhi wana J/Forums.