Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

Habar za asubuhi wana J/forum.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakn mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakn huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana alaf mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakn hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Mkuu uko Serengeti muda huu, huu undezi huwa wa jamii ya huko wa kukomalia mtu hata kama hakutak na wako tayar kulea watoto ambao sio wao
 
Habar za asubuhi wana J/forum.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakn mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakn huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana alaf mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakn hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
I'm

acha ujinga kijana hàpo hupendwi na USIJARIBU, narudia USIJARIBU.
 
Sio kila unapomtongoza akukubalie wakati huo huo hapo alikua kwenye uhusiano ndio maana akakukataa hio ni sawa.na alipozalishwa akaachika ukaja ww tena imefanya aone kweli ulikua ukimpenda that why nae kaona awe nawe
 
Tena inaonesha hua anajali yule aliekua nae kwenye mahusiano hii inamaanisha hata akitongozwa na wengine wakat yuko na ww kuna chance kubwa ya kuwakataa hao wanaomtongoza kwa sababu tayar yuko kwenye mahusiano
 
Sasa hapo hapo nitakuwa siutendei haki moyo wangu,maana imefika hatua sina hisia na wanawake wengine kabisaa na ninamuwaza yeye tu
Wew ni mjinga unamuwaza mke wa mtu nani kakuambia mahawara wanachana kawaulize wazazi wako watakujibu vizuri sana. Mimi binafsi nilitakaga kuoa mwanamke wa aina hiyo niikukuja Jf Nikakutana na Threads za kuwa husu masingle maza watu wakiwaonya Vijana wasijaribu kuwaoa!!!!

Sikuridhika na maoni yao nikasema ni mambo ya mitandaoni! Nikawatafuta wazazi nikwaletea hiyo hoja kama kisa cha rafiki yangu.

Baba na mama wakawa wakali wakasema Kijana anae OA mwanamke mwenye Mtoto ana udhaifu flani. Mwamnke wa aina hiyo hafai waliongea mengi kuhusu Masingle Maza
Basi ni Prove ni ukweli. Mkuu ushauri unao shauriwa hapa una ukweli %90
 
We ni fala
Kuna jamaa alikuwa na scenario kama hii.Akaja akaoa kimyakimya yule demu aliezaa na mwingine. Kuna siku nikampigia nikamuuliza vipi yule ex wako yuko wapi siku hizi?

Ghafla yule demu akalopoka background huko "we m**** koma kufatilia maisha ya watu."Nikakata simu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji15]
 
Hakukutafuta... Wewe ndo ulimtafuta..na ulijia kuwa ameshazalishwa...Sasa Kama hakuwa anakuitaji kipindi kile..... Saiv yupo single Kwanini ASIKUKUBALI...

usimlaumu mwanamke kukubali....Ulitakiwa uendelee na maisha yako alivyokukataaaa.... Na mwanaume akawa anapokea simu

KILICHOKUFANYA Umtongoze tena Ni Nini?

Unashida kwa medullla yako.
 
Muoe mwanangu uyo kashajifunza kashayajua maisha halisi
Afu jitahidi kumpendezesha adi uyo jamaa ajute kwanini alimuacha
Pambania hisia zako fata kile moyo wako unataka
Achana na wanaosema sijui atakutesa sijui nini we fuata moyo wako kile unapenda

Kama kujifunza ukajifunze mwenyewe ndani ya ndoa sio waanze kukuletea ushuhuda wao wa uongo hapa

Kama mnapendana muoe kweli mapenzi hayana formula
Wewe unamshauri maswala ya moyo, kama moyo una AKILI sawa
 
Hahahaaaa we jamaa wewe mapenzi sio muhimu!!!? Wewe unampotosha mwenzio mapenzi ndio kila kitu bwashee hata ndoa haiwezi kuwa na heshima kama haina mapenzi usidanganye ili kumtetea mwanamke mwenzio, mapenzi kwanza heshima huja baada ya mapenzi

na kibaya ambacho nakiona hapo ni kwamba huyo jamaa Lovemewise kapenda kupita kiasi hivyo anaendeshwa na mihemko ya mapenzi sio utashi wa mapenzi

Na ndio maana pamoja na kwamba binti alipewa mimba na huyo jamaa akaachwa lakini bado hakuona haja ya kumtafuta huyo Lovemewise lakini jamaa yeye ndiye aliye anza kumtafuta ndipo bint alipo ona kumbe bado kuna mahali pakushika na ndio maana kashika

Mimi ni msema kweli na msema kweli ni mpenzi wa mungu huyo binti hana mapenzi ya kweli na Lovemewise isipo kuwa Lovemewise ndio anaye mpenda sana huyo binti na hiyo hutokea na huwa ni kawaida ila asubiri majibu.
Nifafanulie kwa upana zaidi tofauti ya UTASHI na MIHEMKO YA MAPENZI
 
Duniani kuna binadamu zaidi ya billion 7.5
Wanawake inakadiriwa kua ni 56%. Wanaume ni 43.8%. Jiongeze hapo
 
Kwakweli uneza ukaniona ni waajab lakin moyo wangu ndio umekufa kabisa
Naona unaenda kujitoa muhanga, jua hapo wewe ndo unampenda ila yeye hakupendi. Inaonekana ungekuwa karibu na boko haram ungejiunga nao ukajitoe muhanga maana unacho kifanya hakina tofauti. Hapo shida sio kuzalishwa ni kuwa hakupendi na anakuzarau sana ndo maana alikuwa anampa mwanaume mwingine simu ili akujibu.
 
Habar za asubuhi wana J/forum.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakn mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakn huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana alaf mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakn hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Kabla ya ushauri wetu fatilia nyuzi za masingle mother humu jf utapata muafaka afu sisi tuletee postulates ulizopata afu tutapiga kura🚶🚶🚶
 
Kijana huo muda unaopoteza kwenye mapenz na si uwekezaj na kutumia akil utakuja ukumbuka sanaaa
 
Habar za asubuhi wana J/Forums.

Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.

Lakn mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.

Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.

Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.

Sasa ikafika kipindi wakazalishana alaf mshikaji akala kona.

Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.

Lakn hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.

Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Unataka kulea mtoto wa Nyange?
 
Back
Top Bottom