A.k.a Benard Morrison [emoji1787][emoji1787]Kwenye chama chao cha masingle maza wewe unaitwa super-sub a.k.a spare tire!Yaani kazi yako wewe ni kuokoa timu dakika za majeruhi.
Siku huyo alomzalisha akimhitaji ujue atamkubalia, hakupendi wewe na haupo akilin mwake.Amekukubalia kwa sababu ameona kashazalishwa na kuachwa pia wewe umeonyesha udhaifu mkubwa kwamba bila yeye wewe huwez pata mwingne.Habar za asubuhi wana J/Forums.
Mimi ni kijana ambae nimekaa katika uchumba kwa muda wa mwaka na nusu sasa na sijawahi kukutana nae kimwili huyo mwanamke na tumekuja kupendana kwenye simu baada ya sisi sote wawili ku move away from home.
Lakini mwanzo huyu dada alinisumbua sana na kila nilipokuwa najarib kumwambia nampenda hakuonekana kuniamini badala yake alinambia tubaki kuwa marafiki wa kawaida tu,maana tulikuwa tunaishi vijiji jiran.
Kwakuwa nilimpenda kutoka moyon basi niliendelea kumsumbua na baadae kila nilipompigia simu alikuwa akipokea mwanaume na anasema na kunambia kuwa nisimsumbue mke wake.
Lakini huyo jamaa alikuwa hajamuoa isipokuwa walikuwa wanadate kisela tu na wala hajulikan kwa wazazi wa mwanamke.
Sasa ikafika kipindi wakazalishana halafu mshikaji akala kona.
Baada ya miaka Kama mitatu hivi nikapata tetesi kuwa yule mwanamke hakuolewa lakn kadhalishwa,kwakuwa nami alikuwa bado yupo akilini mwangu nikaamua kumvutia waya na sasa ananikubali kupita maelezo ila ana mtoto.
Lakini hutujawah kutana kimwili hadi sasa na Yuko mbali.
Sasa nawasilisha kwenu wapendwa,je ni kweli huyu mwanamke amenipenda kweli au ni kwasabab ameshazalishwa?
Dah!!kwakweli Mungu ni mwema ndugu[emoji120][emoji120], nipo nae mwezi wa tatu sasa na tunakamilisha taratib za kufunga pingu za maisha
Dah!!
Msenge,
Manina
Sikiliza moyo wako sio kelele za watu
HAHAHAHAHACha kwanza kabla ya yote acha kubeti ndio akili zitakukaa sawa.
View attachment 1718364
Unforgetable
Kuna watu wanautani wa ngumi kabisaHAHAHAHAHA
Usikilize moyo wakoNa we mzalishe halafu pita hivi ili approve kua wanaume wote ni kenge tu.
Baada ya dada kushuka hadhi, kamfata jamaa kwenye daraja la ubora alilopo. Maana sijaona ushauri gani nataka.Hahaaaaaaaaa ampendezeshe ili jamaa aliye mpenda mwanzo amtamani amkwangue vizuri eti?
Tunanuzoefu na wanawake wa aina hii bana usimdanganye mwenzako halafu badae arudi tena huku kuomba ushauri kwa kichwa cha habari kinacho sema
"NIMEGUNDUA MKE WANGU AMERUDIANA NA JAMAA ALIYE ZAA NAYE NIFANYEJE ??
hahahaaaaaa , wanawake tunawajua vizuri sana kama tangu mwanzo alimuona hana hadhi ya kuwa naye ndio maana akawa anamchonganisha na huyo aliye mzalisha ,hiyo hadhi leo imetoka wapi?
Au baada ya yeye kushuka hadhi ndio kaona jamaa atamfaa sasa? Huyo hana mapenzi na wewe kifupi ni hivyo kinacho mfanya akupende sasa ni ulezi wa mtoto na kujishikiza kwako kwa mda we jichanganye utakuja jikumbuka aisee.